Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kabla ya yote niseme tu mitego ya Nabi, Mr. Robertihno ndio akili kubwa ya kuitegua. ilifika muda Nabi anashindwa afanye nini na bado ndio Robertihno anasoma Ligi 😆😆😆. Tuachane na hilo, Yanga...
12 Reactions
14 Replies
1K Views
Mtoto wangu ana miezi Saba juzi mama yake amenambia hajawahi kumuona amesimamisha uume, Ilinichanganya sana akili ilibidi nijipe muda nikakaa naye kama saa mbili hivi asubuhi kuanzia Saa 10 usiku...
13 Reactions
64 Replies
879 Views
Azam kutoa Milioni 50 kila mwezi kwa kila timu ya ligi kuu, hadi sasa umeona mabadiliko yapi kwenye ushindani wa ligi yetu? Ewe mdau wa soka la Tanzania, umeona mabadiliko?
2 Reactions
20 Replies
495 Views
A'alkm Natafuta mume Muislam Umri 35-45. Wasifu wangu - Nina miaka 36 -mpole sana na mcheshi -nina watoto wawili
6 Reactions
28 Replies
388 Views
Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT. Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike...
19 Reactions
235 Replies
6K Views
Ziara ya Rais wa Kenya William Ruto nchini Marekani imeibua jambo. Ruto kapokelewa na mwenyeji Rais Joe Biden na kuzungumzia Mengi. Biden kamuomba Ruto waanzishe ushirikiano kabambe ikiwa ni...
5 Reactions
54 Replies
2K Views
Mbowe , Lisu and all concerned, take care of this. Msigwa na Sugu wanaonekana kujenga "uadui" nawatahadhalisha mbegu hii itaenea pote at the advantage of CCM. Malumbano yao hayana "UPENDO" ila...
3 Reactions
31 Replies
430 Views
Watu wengi wapo tayari kuanzia maisha na wenza wao Ila kuna mmoja bado anasuasua; ili kuwezesha kukutana Kwa watu ambao wapo tayari kuvutana muanze maisha muendele Kula mema ya nchi pamoja Kwa...
33 Reactions
2K Replies
201K Views
Rasmi, Simba imeangukia Kombe la Shirikisho barani Africa ambalo wenzao Yanga walifika Fainali na kuukosa ubingwa kwa kanuni! Sasa ni kipimo kwa Simba kutuonyesha namna kombe ilo lilivyo jepesi...
14 Reactions
25 Replies
728 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,089
Posts
49,737,942
Back
Top Bottom