Habarini wadau,
Kwanza si kama nawadharau single mumy but natoa tu rai yangu kwa vijana especially vi Ben ten kwamba kutoka kimapenzi na mwanamke aliyezalishwa alafu akaachwa ni sawa na kucheza...
MUDA SI.MREFU TUTAWAPA NA SERKL ZA MITAA WANAVYOONGEZEKA
MH IMMIGRATION FANYEN MSAKO WA GUEST ZA MBAGALA ZAKHEM KILA ALHAMISI MPAKA JPILI
HIZI GUEST NYINGI HUHIFADHI WAETHIOPIA WANAOSUBIRIA...
Ukiangalia kwa makini siasa za Afrika zinavyoendeshwa Kwa Sasa, unaweza kuona pasina shaka kuwa mserereko wa kurudi nyuma miaka 200 iliyopita ni mkubwa sana.
Kabla ya Mkutano wa Berlin...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeona niseme haya mapema sana ili yakitokea ya kutokea CHADEMA wasije kuanza kusema wamehujumiwa na serikali au CCM. Kwa sababu mtu mvivu wa kutumia akili akipata tatizo...
Dunia inakwenda kwa kasi sana...
Warembo wa kusadikika 10 waingia kwenye fainali za kinyang'anyiro cha mlimbwende wa akili bandia(Miss AI) ambapo watachuana kugombania kitita cha USD 13,000...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Ninasikitika sana kutokana na hali iliyopo Simba kwa sasa. Simba inapitia nyakati ngumu sana kutokana na ubovu wa viingozi waliopo na wanachama wajinga wengi wanaoyumbishwa na siasa za Simba...
Kuna sehemu moja huko monduli nilifika umasaini yaani Kama hujakaza roho unaweza tafuta usafiri usiku kwa usiku,
Waweza jiona upo nyuma ya dunia maana Kila kitu ni shida, kuanzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.