Nimesoma mara mbili mbili sijaelewa hii takwimu wamemaanisha nini, kilichonishangaza zaidi ni kutumika kwa neno pekee kwa maana hakuna nyingine mwenye takwimu ya namna hiyo.
Mwandishi nguli wa Habari za Michezo Maulid Kitenge amesema Ukweli ni lazima usemwe Idara ya Mawasiliano Ikulu ilipwaya.
Kitenge amesema kwa mfano madai ya uzushi ya kuuza Bandari ilimlazimu...
Kuna mwanamke furani ivi ni mwanamke wa ndoto zangu nampenda na yeye ananipenda ila cmwelewi kwenye cmu kasevu mpenzi mwingne alaf kdume nkajijua ndo mimi kumbe cyo kudadadeki, ivi inakuaje hawa...
Salaam, Shalom!!
Kusaini mikataba inayohusu nchi kunahitaji Umakini wa Hali ya juu, mikataba yenyewe ni very technical na inahitaji muda kuusoma na kujua hila za vifungu vya mikataba vinavyoweza...
Habari wakuu na wakubwa zangu;
Nipo hapa kujaribu bahati yangu kutoka kwenu, Inawezekana una nyumba Dodoma na huwa unaitembelea mara chache au unataka kuajiri mtu wa kutunza mazingira kiujumla...
Mazingira yanayowapa kipaumbele wanawake - Marekani / Ulaya mwanamke anatukuzwa sana, Huruhusiwi hata kumfinya ukijaribu tu polisi wapo mlangoni kesi ni domestic violence, Mnaweza kulewa wote...
Inakuwaje wanaJamiiForums
Kama ilivyo tamaduni yetu WanaJf kushea experience lengo ikiwa ni kuhamasishana kujenga familia, kupeana moyo n.k.
Je, mtoto wako wa kwanza ulimpata kwa bahati mbaya au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.