Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndugu zangu Watanzania, Nimeona nisema haya mapema sana ili yakitokea ya kutokea CHADEMA wasije anza kusema wamehujumiwa na serikali au CCM. Kwa sababu mtu mvivu wa kutumia akili akipata tatizo...
6 Reactions
67 Replies
991 Views
Marekani / ulaya kuna ajira nyingi sana, kupata pesa ni juhudi zako tu, ni kawaida kukuta mtu anafnya kazi za kipato cha chini zisizohitaji elimu ya chuo kwenye godown analipwa elf 40 kwa saa...
2 Reactions
14 Replies
225 Views
1. Ishi kwa kumtegemea Mungu 2. Weka akiba ya fedha bank 3. Tafuta mpenz mmoja sahihi, atakaekuwa mshaur kwako 4. Anza maisha ya kujitegemea na sio kuishi kwa...
14 Reactions
26 Replies
5K Views
Salaam, Shalom!! Kusaini mikataba inayohusu nchi kunahitaji Umakini wa Hali ya juu, mikataba yenyewe ni very technical na inahitaji muda kuusoma na kujua hila za vifungu vya mikataba vinavyoweza...
8 Reactions
77 Replies
1K Views
Mtanzania Jabarldin Hamis Ijengo ametishia kwenda Mahakamani Kuishitaki Ubalozi wa Marekani Nchini Kwa madai kwamba haijamlipa pesa zake kufuatia kutoa taarifa za Siri na uhakika zilizowezeshwa...
8 Reactions
81 Replies
6K Views
Dar es Salaam, 07 Juni, 2024: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inapenda kuwafahamisha Walipakodi na wananchi kwa ujumla kuwa, ofisi za TRA nchi nzima zitakuwa wazi kuwahudumia walipakodi siku ya...
0 Reactions
7 Replies
109 Views
Mambo mengine yanachekesha Sana, utadhani hawa Watu hawawasiliani.
2 Reactions
1 Replies
54 Views
Hongera sana Mkuu wa wilaya ya Ubungo kwa kudhamiria kutokomeza biashara haramu ya kuuza mili. Leo hii tarehe 6/06/2024 Mkuu wa wilaya amekamata jumla ya madada poa 20 wakiwemo wateja wa biashara...
3 Reactions
103 Replies
2K Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
383K Replies
11M Views
Leo nimeona nishare hii story yangu. Ilikuwa hivi, nilivyomaliza chuo nilibaki Dar nikipambana na life. Ndani ya muda kidogo nikapata job bana, mshahara si haba. You can imagine umetoka chuo kwa...
106 Reactions
136 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,037
Posts
49,817,806
Back
Top Bottom