Weengi wanaamini mweusi ni mpenda njia za mkato 'shortcuts' tena hata hajali kama kuna mahali anaharibu au kuna watu anawaumiza
Weeengi humu wanaamini mtu mweusi ni ungaunga mwana
weengi humu...
Majina haya ni mabaya n yanatweza utu wa mwanamke lkn yamepakwa nakshi kuyafanya yaonekane mazuri. Kamwe wanawake msiyakubali na msikubali kuingia kwenye makundi yenye majina haya.
Ifuatayo ni...
Wakuu kuna biashara nimefungua sehemu lakini unashinda siku nzima hujauza hata mia.
Location ni nzuri ni karibu na center kubwa kabisa.
Hizi fremu watu hawakai huwezi kuta mtu amemaliza haya...
Wanaukumbi.
🇮🇱🇱🇧 Hapo jana Israel walisema wanaelekea kwenye uamuzi wa kuivamia Lebanon, leo Hezbollah wamerusha roketi kwenye kituo chao na kuua na kujeruhi makumi ya wanajeshi.
Wakati huo...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Dunia inakwenda kwa kasi sana...
Warembo wa kusadikika 10 waingia kwenye fainali za kinyang'anyiro cha mlimbwende wa akili bandia(Miss AI) ambapo watachuana kugombania kitita cha USD 13,000...
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, Huko Singida Mjini kumepangwa kufanyika Mkutano wa Hadhara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu 8/6/2024, kwenye viwanja vya Stendi ya Zamani...
Full name: Chelsea Football Club
Nickname(s): The Blues, The Pensioners
Founded: 10 March 1905
League: Premier League
Website: ChelseaFC.com
Ground: Stamford Bridge, (Capacity...
Mwanamuziki mkongwe nchini, Rehema Chalamila aka Ray C amemtembelea msanii mwenzie mkongwe nchini Lady Jaydee na kupeana mawili matatu huku wakifarijiana na kukumbushiana enzi zao, hata hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.