Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tujivunze kiswahili fasaha vinginevyo tutapotosha maana halisi ya ulicho kusudia. wenye matatizo ya kushindwa kutofautisha herufi "l" na "r" mnatukere.
2 Reactions
7 Replies
256 Views
  • Sticky
Vitabu vinauwezo wa kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Baada ya vita vya pili ya dunia wajapan walikuja na nadharia iitwayo KAIZEN (Continuous improve), yaani angalau kila siku uongeze...
60 Reactions
1K Replies
320K Views
Leo/ jana Rais Samia kafanya tena ile kazi aiwezayo vizuri: kateua na kutengua baadhi ya watumishi wa serikali. Ila safari hii yawezekana kaandika rekodi ambayo haijawahi kuandikwa duniani...
0 Reactions
5 Replies
55 Views
Wanaitwa king cobra kwa sababu wanaweza kuua na kula cobra wenzao. Cobra mfalme mzima ni wa manjano, kijani kibichi, hudhurungi au mweusi, kwa kawaida huwa na mwamba wa rangi ya njano-nyeupe King...
1 Reactions
8 Replies
168 Views
  • Sticky
Mkataba wa ajira, kama ilivyo desturi kwa mikataba mingine kwa mujibu wa sheria, huzaliwa, huishi na kufa; kama ilivyo kwa binadamu na viumbe hai vingine. Unazaliwa mara baada ya mwajiriwa na...
13 Reactions
726 Replies
323K Views
FUMBO MFUMBIE MJINGA LUKA 17:20-21 Siku moja, mafarisayo walipomuuliza Yesu ufalme wa Mungu utakuja lini, aliwajibu hivi:, "ufalme wa Mungu hauji kwa kuonekana, 21 Wala watu hawatasema "huu hapa...
5 Reactions
12 Replies
457 Views
ABDU FATAH MUSSA MTANGAZAJI WA RADIO TEHRAN IRAN Ulikuwa mwaka wa 2000 Uchaguzi Mkuu wa Pili baada ya uchaguzi wa kwanza 1995. Niko Tanga. Sikumbuki vipi tulifahamiana lakini ninachokumbuka ni...
4 Reactions
34 Replies
794 Views
A
Usafiri wa Mabasi ya Newala, Mtwara ni changamoto sana na ni shida ya mda mrefu sana. Wafanyabiashara wa mabasi wanafanya biashara kwa kubahatisha; service hazifanyiki vzur na kwa wakati hali...
1 Reactions
4 Replies
42 Views
  • Sticky
Wakuu nimekutana na makala hii nikaona nianzishe mada hapa ili tuweze kujadiliana na wataalam wetu na watufahamishe ukweli wake na uwongo wake au kutupa ushauri zaidi ya huu niuonao katika mada...
38 Reactions
182 Replies
196K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,898
Posts
49,814,071
Back
Top Bottom