Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
nimekua nikimpenda sana @_ephen sijui ndo nimekosea handle yake ?. ila nimempenda sana... sana, siwezi kuelezea ni jinsi gani. lakini pia nimekuja kugundua watu wengi pia wanampenda huyu Binti...
2 Reactions
54 Replies
457 Views
Mwenyekiti wa Baraza la Wakristo Tanzania ( CCT) askofu Dr Shoo amewataka Wananchi kuchagua viongozi Wenye Hofu ya Mungu wa mbinguni " Ukichagua Mbunge akuwakilishe Bungeni tangu siku anakanyaga...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
ANGALIZO Maelezo yaliyotolewa katika uzi huu ni kwa ajili ya kuelimisha na kutoa taarifa kwa umma na hayapaswi kutafsiriwa kama ushauri wa kisheria. Sheria za umiliki wa silaha zinaweza...
8 Reactions
46 Replies
775 Views
Ukiacha Ufalme wa Mungu jambo la pili lililotawala hotuba, story mifano ya Yesu lilikuwa ni Pesa/Mali na uchumi. Hili alilizungumzia sana kuliko Maombi na Imani. Zipo sababu nyingi, ila hii ni...
1 Reactions
6 Replies
23 Views
Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT. Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike...
12 Reactions
68 Replies
2K Views
Hakuna kitu kinauma kama kugundua kwamba ulipigwa kwenye biashara or whatever regardless ni pesa kiasi gani pia hakuna kitu kibaya kama kutaka kumuibia mtu ambaye anajua actual amount kwahio...
3 Reactions
9 Replies
82 Views
Habari wadau. Binafsi nawashangaa sana watu wanaolalamikia kwa nini star link haipo? Chief-Mkwawa amelinganisha vizuri kuhusu bei za internet ya starlink vs bei za ISP wa bongo. Bei za...
6 Reactions
80 Replies
5K Views
A
Nasimama na maofisa wa NIDA waliopo katika maeneo mengi nchini. Madereva na wasaidizi wao wanaofanya safari kwenda nje ya nchi kupeleka mizigo wanapewa vitambulisho vya Tanzania na baadaye zile...
8 Reactions
27 Replies
429 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda: Kwa umri huu nitishike na kauli za watu? Mtapata watu wengine watakaowapetipeti, nasikia wanaangaika na mitandao. --- Akiwa wilayani Monduli RC Makonda...
18 Reactions
174 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,857,635
Posts
49,723,450
Back
Top Bottom