Leo/ jana Rais Samia kafanya tena ile kazi aiwezayo vizuri: kateua na kutengua baadhi ya watumishi wa serikali.
Ila safari hii yawezekana kaandika rekodi ambayo haijawahi kuandikwa duniani...
Waziri wa fedha alisema hakuna wizi serikalini ndio maana maendeleo yanaonekana.
Je, ni kweli hakuna wizi Serikalini?
Kauli yake ina ukweli kiasi gani? Jamiicheck tunaomba mhakiki suala hili.
Nimeonelea nianzishe hii section ili watu tuwe tunapeana maneno ya hekima. Huu ni mwanzo na ruksa kuendeleza thread (mada) hii ili mradi uwe umejisajili. You may use any of the two official...
Kampuni ya Ujenzi ya China (PowerChina) imejenga mradi wa mfumo wa usambazaji maji katika jiji la Arusha nchini Tanzania, ambao unawasaidia wakazi wa jiji hilo kupata maji safi karibu na makazi...
Rank
Country
% of Women in Parliament
Global rank
1
Rwanda
61.3%
1st
2
Senegal
46.1%
11th
3
South Africa
45.8%
14th
4
Namibia
44.2%
19th
5
Mozambique
43.2%
20th
6
Ethiopia
41.3%
25th...
Amekamatwa leo kwa kile kilichoitwa Uchochezi alioutoa kwenye Mkutano wa Lissu huko Mkalama, mpaka muda huu bado yuko Mikononi mwa Polisi.
Anatetewa na Wakili Msomi Tundu Lissu
---
Jeshi la...
The recent statistics released by World Population Review has placed Tanzania as the country with the lowest IQ in East Africa. Position one was handled by Uganda which had an average IQ of 84...
Je huyu ataaminika na wawekezaji?
PIA SOMA
- Breaking News: - Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu
FUMBO MFUMBIE MJINGA
LUKA 17:20-21
Siku moja, mafarisayo walipomuuliza Yesu ufalme wa Mungu utakuja lini, aliwajibu hivi:, "ufalme wa Mungu hauji kwa kuonekana, 21 Wala watu hawatasema "huu hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.