Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus pamoja na viongozi wengine wa Serikali wanazungumza na waandishi wa Habari Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 6, 2024...
Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?
Ikulu imekuwa kichekesho...
Wakuu salama?
Nadhani mmeona mkeka wa mama, Zuhura Yunus kaondolewa kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye...
Mashangazi wengine wananyanyasa sana vibenteni, tena ukute shangazi la kanda fulani fulani za Tanzania.
Kwanza wa bahili kutoa pesa na wakikupa ni kwa masimango na unaifanyia kazi kwelikweli...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, muhimili pekee uliohakikisha uzi mwembamba uliokamata maisha ya Lissu usikatike ni Mbowe.
Mbowe katoa hela mfukoni, kachangisha, goodwill (hii chadema njaa...
Wakuu hope salama, polenii na majukumu ya kulijenga taifa na familia kwa ujumla.
Dhumuni la kuandika huu uzi ni namna now navyojiskia, ilikuwa mwaka 2018 baada ya kumaliza chuo nikiwa kitaa sina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.