Mbunge wa viti Maalumu Mkoa wa Mbeya bibie Fyandomo amesema Mtu akienda Mbeya hawezi jua mjini ni wapi Kutokana na Mpungilio wa Jiji lenyewe.
Akaonheza kwamba watu wa Mbeya wanataka Jiji lao...
Muda mfupi baada ya RC Makonda kusema hatishwi na wanamitandao wanaompigia makelele anapochapa Kazi, mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amemjibu Ukurasani X
Fatma Karume anasema RC...
Mbinu zitumikazo kuiba pesa nyingi kwa kudukua taarifa za mashine ya ATM
Salute!
P.S: Awali ya yote niseme tu wazi, sijapost li mtu ajaribu kuiba pesa bank, nia yangu ni kuwapa uhalisia wa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wakuu nahisi nina kitu.
Tafadhali nisibezwe maana hii imekuwa ndoto yangu kitambo sasa.
Sasa nataka mnipe ABC's za namna navoweza kuifikia ndoto yangu hii.
Naanzia wapi? natakiwa kuwa na nini...
nna mdogo wangu alikua shule moja mkoa wa Dodoma, akakamatwa na simu shuleni na mkuu wa shule akiwa form 6 siku chache kabla ya mtihani.mkuu akakaa na simu hiyo na mdogo wangu alipomaliza shule...
Nina miaka 40 pia nimejaariwa watoto 2, shida ni kwamba siku hizi TUNDA special limenikinai kabisa kiasi naweza kaa hata miezi sitamani kabisa, Sasa sijui ndio umri umekwenda au kuna shida...
Habari wadau.
Hivi sasa ni saa 01:40 usiku wa manane sijalala naumia na kuumiza kichwa hivi hizi kesi za kulawiti kwanini zimekithiri?
Wanaume wamefikia hatua wanalawiti watoto wa miaka...
MMeona wenzenu hawaangaiki na robot ambaye hajui lugha hadi awekewe google translate. Gari Limetua ziwa victoria mmekuja onyeshwa akiri ni mari.
HIvi ndivyo vitu hadìmu mkiona kuna mafuriko...
SALAAM
Imani ya kiyahudi ni imani iliyokuwa na ustaarabu mkubwa kwa kipendi hicho na huenda ndiyo imani iliyozaaa imani nyengine za kidini.
Wayahudi akina Abrahamu, Mosses, Daudi, Isaya na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.