Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Taiwan's missile launchers would last ~5 minutes after being detected. Even if they get to launch, they'll be detected & immediately destroyed by PLA air assets with PGMs. So single use...
1 Reactions
1 Replies
25 Views
Amekamatwa leo kwa kile kilichoitwa Uchochezi alioutoa kwenye Mkutano wa Lissu huko Mkalama, mpaka muda huu bado yuko Mikononi mwa Polisi. Anatetewa na Wakili Msomi Tundu Lissu --- Jeshi la...
1 Reactions
20 Replies
711 Views
Leo nimeona nishare hii story yangu. Ilikuwa hivi, nilivomaliza chuo nilibaki Dar nikipambana na life. Ndani ya muda kidogo nikapata job bana, mshahara si haba. You can imagine umetoka chuo kwa...
56 Reactions
56 Replies
1K Views
Wanabodi Hili ni bandiko la maswali kwa Tundu Lissu na dereva wake, kufuatia shambulio la Lissu, "Shambulizi la Lissu, wanaomdhania dereva anahusika, sio wajinga!, wana hoja za msingi!" Swali ni...
65 Reactions
970 Replies
69K Views
Uyo mwanamke ni mlemavu, ame-paralyse au mtoto yatima? Kama ishu ni sex iyo ni mutualy pleasure sasa kwanini mwanaume ugharamie.! Hela anatakiwa kupewa na baba ake, no man has a reaponsibility to...
29 Reactions
167 Replies
5K Views
Ukitaka watoto wazuri wakike lazima ugharamie
10 Reactions
73 Replies
1K Views
  • Sticky
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies. Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza...
68 Reactions
23K Replies
2M Views
1940 May ulitokea mvutano mkubwa wa baraza la mawaziri nchini Uingereza baina ya pande mbili, upande mmoja ilikuwa wakiunga mkono kuongea amani na Germany na upande mmoja waliunga mkono kuendelea...
19 Reactions
30 Replies
1K Views
Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya? Ikulu imekuwa kichekesho...
26 Reactions
198 Replies
9K Views
Za siku nyingi wana JamiiForums, natumaini mu wazima. Naomba nitoe shukrani zangu kwa JF kwa maada mbalimbali zimekuwa zinasaidia sana, mimi si mtoa maada sana ila msomaji mzuri. Niende kwenye...
13 Reactions
35 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,886
Posts
49,813,888
Back
Top Bottom