Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Leo/ jana Rais Samia kafanya tena ile kazi aiwezayo vizuri: kateua na kutengua baadhi ya watumishi wa serikali. Ila safari hii yawezekana kaandika rekodi ambayo haijawahi kuandikwa duniani...
3 Reactions
26 Replies
657 Views
Sio utani. Wakuu heshima kwenu. Vyanzo vyangu vya uhakika kabisa ambavyo vingine viko kwenye jungu la ushauri la uteuzi wa rais vimeniambia ndani ya wiki moja mpaka mbili jina langu litakuwa...
7 Reactions
28 Replies
827 Views
Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya? Ikulu imekuwa kichekesho...
27 Reactions
231 Replies
11K Views
Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo ziko kwenye magazeti mawili, Gazeti la Nipashe la kila Jumapili na gazeti la Mwananchi la kila...
5 Reactions
41 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Uzi huu unakusudia kuwaenzi Waandishi wetu wakongwe na wanaoheshimika wa ndani na nje ya nchi. Hivyo unachotakiwa ni kuweka msemo/ nukuu moja, jina la Mwandishi , Kitabu...
10 Reactions
137 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimeendelea kumfuatilia na kufuatilia mahojiano mbalimbali ambayo amekuwa akifanya na ambayo amefanya kupitia vyombo vya habari kuelezea mambo mbalimbali kuanzia uchumi...
19 Reactions
295 Replies
3K Views
Baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, muhimili pekee uliohakikisha uzi mwembamba uliokamata maisha ya Lissu usikatike ni Mbowe. Mbowe katoa hela mfukoni, kachangisha, goodwill (hii chadema njaa...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Kamanda Tundu Lissu amekanusha madai yaliyotolewa hapo nyuma kidogo na Lema kwamba Mbowe ndio aliyeshika chupa ya damu wakati akipelekwa Nairobi kwa matibabu. Amesema aliyeshika chupa ya damu...
14 Reactions
112 Replies
4K Views
Afisa mtendaji mkuu wa bodi ya ligi, Almas Kasongo amesema msimu ujao 24|25 Video Assistant Referee (VAR) itatumika ligi kuu. Amesema, mfumo wa (VAR) utafungwa kwenye baadhi ya viwanja...
2 Reactions
8 Replies
292 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,908
Posts
49,814,438
Back
Top Bottom