Kuna watu tuna nusa kama mbwa.
Nishanusa kitu, huu ni mchezo wa kitoto umefanywa na wenye vyeo.
Haiingii akilini aiseee. Uue kiwanda uzalishe nyumba.
Kihesabu hapo ni sawa na 10-90 jibu linakuwa...
Habari wanaBodi...
Nimekua mfatiliaji kidogo wa mijadala ya Bungeni hasa michango inayotolewa na wabunge mashuhuri wawili watatu hivi kuhusu Taifa na maendeleo yake Kiuchumi kisiasa na...
Ziara ya Rais wa Kenya William Ruto nchini Marekani imeibua jambo. Ruto kapokelewa na mwenyeji Rais Joe Biden na kuzungumzia Mengi.
Biden kamuomba Ruto waanzishe ushirikiano kabambe ikiwa ni...
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.
Nitaleta update zaidi.
Wanawake kuweni sana makini...
Mwezi na tarehe km ya leo last year niliachwa na mpenzi wangu wa kinyaturu kisa kilikuwa cha kijinga sana eti boksa zangu ni za vitenge..
sasa yy sijui alitaka niwe na boksa zipi maan kipindi...
ICC kusema Waziri Mkuu wa Israel akamatwe Kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu, naona kunashadadiwa Sana na baadhi ya watu.
Lakini makosa ya Netanyahu yanafanana Sana na makosa anayotuhumiwa...
Pata shida ndio hautashangaa maamuzi watu wanayoyafanya.
Nilipofikia sasa ni kuanguka, kila linachonizunguka kinapotea yani nipo kwenye ncha ya kufirisika na kinachofatia nitashindwa kuhudumia...
Yanga wamemtafutia lishangazi moja . To stimulate aziz ki to stay . what a great move .
Pisi ina mimba ya aziz kii , soon anakuwa na mcheza mpira wa next generation .
We wait . Will he stay...
Full name: Chelsea Football Club
Nickname(s): The Blues, The Pensioners
Founded: 10 March 1905
League: Premier League
Website: ChelseaFC.com
Ground: Stamford Bridge, (Capacity...
Unapoona Viongozi wa wakuu wa juu wa Chama cha Siasa ni Vigeugeu katika kauli zao jua kabisa hicho chama ni sehemu tu ya kutafutia mikate yao ya Kila siku.
VIjana wa CHADEMA wanaodhani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.