Pata shida ndio hautashangaa maamuzi watu wanayoyafanya.
Nilipofikia sasa ni kuanguka, kila linachonizunguka kinapotea yani nipo kwenye ncha ya kufirisika na kinachofatia nitashindwa kuhudumia...
Imenilazimu nianzishe thread kabisa kuhusu hili taifa la israeli la sasa baada ya kuona baadhi ya thread zilizotangulia nyingi tu zinazo elezea umahiri na ushupavu wa hili taifa la israeli la...
Sipingi Watu kutengana kwa kukubaliana kutokukubaliana, LAKINI inafikirisha zaidi pale unapogundua kuwa "kuachanishwa" kwenu kulikua na nguvu flani nyuma yake.
Katika pita pita Zangu mara kadhaa...
Huu mradi una maswali mengi ambayo binafsi ninakosa majibu. Tunajua na kutambua kwamba kuna gharama za uendeshaji wa mradi, ikiwemo kulipa mishahara wafanyakazi,mafuta, matengenezo n.k Lakini...
Wadau nilinunua hii simu kwa mtu ambaye aliuziwa na mtu na yeye alisema usiirestore itajifunga
Mimi mbishi nikatumia itunes nika iupdate kisha nikairestore hapo ndo kasheshe simu ikajifunga...
Mimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wadau hamjamboni nyote?
Leo nimeamini kuwa Watutsi na Waethiopia ni ndugu wa damu kabisa na kama kuna tofauti basi ni nchi tu wanazoishi kwa sasa.
Tazama picha hapo chini ya Rais Paulo Kagame...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.