Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Al Jazeera wametangaza hii habari haraka haraka sana hakuna coverage hata ya kuhoji watu ambao wanasema Ile ni massacre. African news nao Wala hawatangazi kuhusu Sudani. Taarifa yote iko Gaza...
4 Reactions
9 Replies
248 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
522K Replies
30M Views
Habari zenu wanajukwaa, Kwanza nashukuru sana kwa kunitia moyo katika uzi wangu uliopita. Pili, nikwamba bado sijakata tamaa nahitaji mpenzi lakini awe ngozi nyeupe(Mzungu) tafadhali dada zangu...
2 Reactions
326 Replies
19K Views
Ukitaka watoto wazuri wakike lazima ugharamie
3 Reactions
9 Replies
65 Views
Hebu tupe uzoefu, ili twende sawa zaidi. Ulikiuka miiko gani ukapigwa ban JF au nini kilisababisha ukapigwa ban? Mara ngapi umekumbana na changamoto hiyo na ni jukwaa gani hasa lilikusababisha...
9 Reactions
77 Replies
816 Views
Hello! Rafiki yangu wa kazi, rafiki wa faida. Mimi na yeye sio marafiki kama nilivyoandika hapo juu ila tuko karibu kuliko hata hao mnaowaita marafiki. Hatuongei jambo lolote isipokuwa issue ya...
7 Reactions
16 Replies
370 Views
Friends and Our Enemies... Kama mtakumbuka hapo nyuma katika harakati za TUNDU LISU, alipopita Iringa kwenye ziara zake alishutumu vikali matumizi ya fedha za RUSHWA katika uchaguzi wao wa ndani...
8 Reactions
100 Replies
2K Views
Baada ya Kesi iliyomkabili yeye pamoja Meya Mstaafu Boniface Jackob kuahirishwa, hadi Tarehe 04/07/2024, Jeshi la Polisi limemkamata Bwana Malissa na kuanza Safari ya kuelekea Mkoani Kilimanjaro...
4 Reactions
23 Replies
721 Views
Feisal ameulizwa ulipofunga uliweka isharaaaa uwanja mzima washike adabu ndio.... Je, unakumbuka baba na mama walikuwa uwanjan kaanza kucheka hahahaa kwahio wazazi wako nao washike adabuuuuu...
3 Reactions
1 Replies
103 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
105 Reactions
222K Replies
17M Views

FORUM STATS

Threads
1,860,695
Posts
49,809,276
Back
Top Bottom