Hivi kila mmoja wetu hapa sianaufahamu angalau kidogo kuhusiana na masuala ya mchezo wa mpira, ni wazi kila mmoja wetu hapa anaufahamu angalau kidogo kuhusiana na masuala ya mchezo wa mpira, hivi...
Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza linamshikilia Christina Shiriri (43) kwa jina maarufu Manka, mfanyabiashara na mkazi wa Usagara wilaya ya Misungwi kwa kosa la kumfanyia ukatili mfanyakazi wake wa...
Feisal Faila kuff kama wanavyomuita watangazaji wa Azam rafiki za lawena msonda mzee wa makongorosi ametaja kikosi chake Bora Cha msimu ulioisha kupitia gazeti pendwa la michezo mwanaspoti ambapo...
Dar es Salaam. Viongozi na wanachama wa Umoja wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu na Vyuo vya Kati wa Chadema (Chaso) wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam wamejiunga na chama cha ACT wazalendo.
Jumla ya...
Wakuu habari za muda huu najua mko njema tunaendelea kupata pumzi ya bure na Mungu atubariki
Kama kawaida kuna wakati mtu unapambana na inafika hatua unatamani uwe na kwako uchomoke kwenye mambo...
Ukihitaji salamu subiri kwanza FaizaFoxy anikubalie ombi langu,tofauti na hapo utaambulia gunzi ukapikie Mapupu!
Sometimes huwa nawashangaa baadhi ya wanaume kumtupia lawama kijana Harmonize...
NIELEWE KWA MAKINI SANA.
Mungu wa Israel
Mungu Allah,
Mungu wa wabudha,
Miungu ya kale pale misri,
Na Mungu au Miungu yote ambayo inaabudiwa ikiwemo mizimu na isiyo mizimu, ikiwemo hai na isiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.