1. Nipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje?
2. Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi...
Hivi kila mmoja wetu hapa sianaufahamu angalau kidogo kuhusiana na masuala ya mchezo wa mpira, ni wazi kila mmoja wetu hapa anaufahamu angalau kidogo kuhusiana na masuala ya mchezo wa mpira, hivi...
Kumekuwa na Tabia za watu, Baadhi ya Maeneo hasa Miji mikubwa hapa Tanzania. Watu kufanya mazoezi Barabarani. Kundi la watu kufanya mazoezi ya kukimbia na kuleta msongamano wa magari.
Kwa mtazamo...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
IDEA ya Biashara ni moja ya mambo yanayo waumiza watu wengi sana, Na mara nyingi wazo la biashara linahitaji utafiti wa kina ili kuja na wazo lenye tija kwako na kwa jamii nzima.
HIZI NI MOJA YA...
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi-Sugu Moto Chini amekabidhi Madera 100 kwa Jumuiya ya Wanawake BAWACHA pamoja na Vitabu 50
Sugu ametoa taarifa ya makabidhiano Ukurasani X...
Hivi kwanini mkipata Madaraka na mnapokuwa mbele ya Camera huwa mnakuwa Majuha ( Fools ) sana na Kuboa hivi?
===
Alichokisema Nape Nnaye: “Lazima tujenge culture [utamaduni] ya kufanya kazi. Hii...
Akiwa Singida katika mikutano yake hivi Juzi, Mh. Tundu Lissu alidai tena kwamba, anawindwa na watu wasiojulikana kama ilivyokuwa kipindi cha miaka ya 2016, 2017 pindi akiwa mbunge wa Bunge la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.