Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Taasisi ya kupambana na Rushwa jijini Arusha imesema uchunguzi wa awali umebaini watumishi wawili Jijini Arusha kuhusika na kutengeneza control number bandia na pia kutengeneza kampuni hewa ili...
1 Reactions
10 Replies
100 Views
Habari ndugu zangu. Wakubwa shkamoo...... Ushawahi kujiuliza maisha yangekuwaje bila Dini? Leo nimewaza nikawazua na kuangalia mifano iliyohai kuhusu uhusiano uliopo kati ya mtu kuwa na roho ya...
4 Reactions
64 Replies
626 Views
Iko hivii; Hapa mtaan kuna office za kubeti kwa hyo mara nyingi huwa nashinda hapo. Sasa kuna jamaa imetokea tu tumezoeana kwa sababu kila sku tunakutana humo ndanin(simjui jina wala sina details...
18 Reactions
100 Replies
2K Views
Naaaje wazee, Ligi ya NBC inaelekea ukingoni huku Bingwa akiwa ameshafahamika tayari. Kwa sasa vita ipo sehemu nne tu: 1. Nafasi ya Pili 2. Nafasi ya nne 3. Kujinasua kucheza Playoff 4...
1 Reactions
14 Replies
321 Views
Ni hayo tu , haiwezekani unazalisha mwingine unakwenda oa mwingine kisa hampendani au kuendana au una zaa na mwingine kirahisi tu unakwenda olewa na mwingine. AU huoi kabisa Haya maumivu ya...
2 Reactions
9 Replies
113 Views
Sijui kama ni mimi au watu wengi. Airtel pamoja na huduma za Airtel Money hazipatikani muda huu.
1 Reactions
6 Replies
31 Views
My Take Beatrice wa Moshi amelipa Ile ya Penina wa Goba.Ubaonunasomae 1=1,ngoma hii Bado hakuna mshindi 😆😆😆😆😆 ======= Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Beatrice Elias (36), mkazi...
7 Reactions
188 Replies
3K Views
Songesha na mikopo mingine ya simu imepelekea watumishi kunyimwa mikopo wanapoenda bank kukopa, na hii ni kutokana na mamlaka zinazosimamia mikopo kuweka utaratibu wa madaraja high risk, risk na...
23 Reactions
205 Replies
7K Views
Jamani naomba kujuzwa dalili za msingi kuziangalia kama unataka kupata mwanamke anaejua haswaaaa afanye nin kitandani.Wengi niliokutana nao maneno mengi ila kitandani hamna kitu.Nataka nijue...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Jimbo la bure kabisa lile mkiweka mtu makini mchana kweupe mnalipata lile jimbo. Wekeni kichwa haswa pale, mmbunge wa sasa wa pale ni mweupe peeee kichwani.
0 Reactions
1 Replies
2 Views

FORUM STATS

Threads
1,857,422
Posts
49,716,504
Back
Top Bottom