Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hatimaye Mwenyekiti wa BAVICHA mh John Pambalu ametangaza rasmi kuwa yuko Kambi ya makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu Pambalu amesema anaunga mkono Juhudi zote za Tundu Antipas...
3 Reactions
58 Replies
496 Views
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake. Nitaleta update zaidi. Wanawake kuweni sana makini...
17 Reactions
197 Replies
4K Views
Kwa mtazamo wangu, Wizara ya Afya ya Tanzania inaweza kuboresha huduma za afya kwa wananchi kupitia maeneo kadhaa: 1Miundombinu: Kujenga na kukarabati hospitali, vituo vya afya, na zahanati...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Madaraka hulevya, usimamini mtu isipokuwa Mungu! Msikilize bashiru Ally kabla ya kuwa na madaraka https://x.com/i/status/1793231455981805944 na baada ya kuwa na madaraka...
2 Reactions
34 Replies
707 Views
Pata shida ndio hautashangaa maamuzi watu wanayoyafanya. Nilipofikia sasa ni kuanguka, kila linachonizunguka kinapotea yani nipo kwenye ncha ya kufirisika na kinachofatia nitashindwa kuhudumia...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Nimejaribu kusikiliza anachozungumza lakini kama nashindwa kuelewa, ni MUKANDALA yule wa KIKOSI KAZI au ni mwingine? === Akitumia maandiko ya Jaji Ibrahim Juma (1998), Prof. Mukandala anaeleza...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Marekani imesema inaitambua rasmi Kenya kama Mshirika wake wa karibu Kiusalama ambae sio mwanachama wa NATO Ili kukabiliana na Ushawishi wa Russia na China Barani Afrika na hususani Afrika...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mimi nilimwambia aache ubishi maana kwao wanatabia za ubishi isee kiliumana sana..akanitukana eti nina mb*** kama filimbi. Isee nilikiamshaa alivyoondoka nikamblock kabisa.. Wewe ilikuwaje kwako!
1 Reactions
4 Replies
5 Views
Naombeni mnisaidie ushauri, nimeapply Kazi sehem mbili, Ajira za polisi pamoja na private company as sales engineer. Kwa wenye uzoefu Ni wap niende.
0 Reactions
2 Replies
3 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,303
Posts
49,687,386
Back
Top Bottom