Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwa tuliosoma vyema Psychology hasa ile ya Communication naomba tutafute Clips za Interviews za Diamond kuhusu Umiliki wake wa Wasafi Media kisha naomba tuchukue na Clips za Interviews za Ali Kiba...
1 Reactions
13 Replies
128 Views
Hatimaye Mwenyekiti wa BAVICHA mh John Pambalu ametangaza rasmi kuwa yuko Kambi ya makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu Pambalu amesema anaunga mkono Juhudi zote za Tundu Antipas...
3 Reactions
56 Replies
445 Views
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake. Nitaleta update zaidi. Wanawake kuweni sana makini...
17 Reactions
178 Replies
4K Views
Wakuu Jeshi la Africa kusini linategemea kufunga virago msumbiji ambako vikosi vya SADC vikiongozwa na South Africa vilikua vikipambana na Kundi la kigaidi la kiislam Msumbiji. Kwa ambao hawajui...
0 Reactions
11 Replies
139 Views
Habari za muda huu wakuu, Nina Account 2 za CRDB, ya kwanza niliifungua mwaka 2020 kwa kitambulisho changu cha utaifa, na ya pili niliifungua 2021 kwa kitambulisho changu cha chuo kikuu muda huo...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Vijana wadogo msijisumbue kujibu!!!!
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Euphoria a feeling or state of intense excitement and happiness. Habari wakuu, Hii ni Dira ya maendeleo binafsi kwa wapambanaji wote. Biashara inayozingatia uwekezaji ktk kutoa huduma za...
0 Reactions
9 Replies
129 Views
Salaam wanaJukwaa! Naomba kujuzwa ni namna gani waweza kumpa msaada mtoto mwenye umri kati ya miaka (14-17) aliyeanza kujihusisha na hayo mambo ya ushoga either anafanyia wenzake au anafanyiwa...
21 Reactions
257 Replies
13K Views
Haijulikani anafanya hivi kwa sababu zipi, kwamba yeye ndio Mkuu bora wa Mikoa yote au labda yeye ni zaidi ya mawaziri, maana tunaona Mawaziri wakisafiri mbali zaidi kwa gari moja tu, na wakifika...
4 Reactions
28 Replies
331 Views
Akichangia Hotuba ya Bunge la Bajeti ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, leo Mei 23, 2024, Mbunge wa Makete, Festo Sanga ameishauri Serikali kutumia fedha zinazotolewa na kampuni...
0 Reactions
1 Replies
19 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,297
Posts
49,687,205
Back
Top Bottom