Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hayo ni maoni ya jaji mstaafu. Jaji anasema kwenye uwekezaji kuna mambo ya ajabu yanaendelea na watu wenye akili wameamua kukaa kimya tu. Jaji anasema rasilimali sasa zinagawiwa kwa mikataba...
23 Reactions
111 Replies
3K Views
AMANI YA BWANA IWE NANYI, MUNGU AWAPAYE WATU NEEMA NA AWAPE NEEMA. Kuna jambo nimeliona huku mtaani siku za hivi karibuni sijawahi kulielewa kwa undani wake kuna nini kimejificha huko. Hivi...
2 Reactions
23 Replies
529 Views
Hivi ni lini zoezi la uandikishaji wa daftari la kudumu la mpiga kura unaanza. Nahitaji kupata kitambulisho cha mpiga kura kabla sijaondoka nchini
8 Reactions
37 Replies
1K Views
Wachina ni wachapakazi sana, wabahili sana, wambea sana, wanapenda sana sigara lakini pia ni wezi sana. Ukipata kazi kwa wachina ujue utafanya kazi kweli kweli, iwe ni kiwandani, barabarani au...
2 Reactions
7 Replies
103 Views
Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30. Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi...
29 Reactions
64 Replies
1K Views
Habari wana JF Matumaini yangu wote mko poa kabisa. Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
261 Reactions
425K Replies
16M Views
Naombeni msaada wa mimi mwenyewe. Ni kwamba nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nimepata division 2 ya 21. Nataka kwenda chuo ila mzazi wangu ananilazimisha Nifanyaje sasa ili niweze kwenda...
0 Reactions
1 Replies
5 Views
A House girl asked her madam to increase her salary. The madam asked her to give 3 reasons why she needs her salary to be increased. HOUSE GIRL: I can cook better than you. MADAM: Who told you...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
TFF tuliwaasa kulea madhambi na kuacha weledi na kuingiza siasa kwenye football hamkutusikia, kijana alikumbia mkataba akahongwa, akashindwa kesi TFF mkaingiza siasa labda na woga mkataba...
16 Reactions
57 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,044
Posts
49,791,833
Back
Top Bottom