Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

  • Suggestion
Je, Ushawahi kupotelewa kwa Kitu cha “Thamani” au “Muhimu” …? Upatikanaji wake ulikuaje…Ulifanikiwa au Hukufanikiwa…TUANGAZIE MBINU NA NAMNA YA KULITATUA SWALA HILI. UTANGULIZI: Natumaini kundi...
1 Reactions
6 Replies
77 Views
Huyu dada muimbaji wa nyimbo za injili na kisauti chake kizuri kama cha mtoto yuko wapi wadau sijamsikia kitambo sana kwenye game. Kuna kibao chake kimoja kinaitwa ninalia halafu kinaitikiwa pole...
1 Reactions
10 Replies
184 Views
Kumekucha! Maguzu masese. Upendo Peneza ana hoja, kwamba, kwa muda mrefu wanachadema wamekuwa wakiandamana kwa kuisingizia serikali kwamba kuna rushwa ndani yake. Upendo Peneza anasema, kwa kuwa...
3 Reactions
110 Replies
2K Views
Ni hivi, viongozi kadhaa wa dini ya kiislamu hapa nchini katika mawaidha yao hudai kuwa ni haramu kuchelewesha mwili wa marehemu hata kama alikuwa kiongozi akifa azikwe fasta fasta. Sasa kafariki...
18 Reactions
103 Replies
1K Views
💥💥NIZAR COMPUTERS ACCESSORIES💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥 KARIBUNI SANA SISI TUNAUZA NA TUNATOA HUDUMA YA VITU MBALIMBALI IKIWEMO; 1:KAZI NA MALIPO YA VITU AU PESA TASILMU ,Kwa wewe mwanachuo au raia nadhani...
2 Reactions
27 Replies
451 Views
Acheni siasa mnaharibu soka letu mechi ya bara mnapeleka visiwani ili mgundue nini? TFF mnaipeleka Fainali Zanzibar, sehemu ya nje ya utawala wa FA husika? Lini mmewahi kuona FA ya Uingereza...
18 Reactions
66 Replies
2K Views
Habari wakuu ni matumaini yangu wote ni wazima,Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27,naomba msaada natamani sana kwenda kufanya kazi ulaya, elimu yangu nimeishia four 4,pasport ninayo naomba...
7 Reactions
21 Replies
186 Views
Kumekuwa na tabia ambapo wapika chapati wengi mitaani hasa migahawa ya jioni hutumia sponge/vipande vya godoro kupika chapati. Je, bidhaa hiyo ni salama kwa kutumika kupikia chapati? Kama kuna...
1 Reactions
2 Replies
54 Views
Tehran, afisa wa ngazi za juu aliyekua anahusika na upelelezi wa ajali iliyogharimu maisha ya rais wa Iran siku chache zilizopita amepiga risasi na kufariki. "huku mtu aliyempiga risasi...
5 Reactions
47 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,856,196
Posts
49,684,599
Back
Top Bottom