Hivi umegundua watoto wengi siku hizi ni wagumu sana kusalimia mtu. Yani wamjue, wasimjue, ni mpaka mzazi amwambie salimia anko, salimia anti.
Bila hivyo!
Vinauchuna kama kichuguu. Morals...
Shule za serikali zimefungwa tangu mwishoni wa wiki iliyopita tarehe 31/5/2024.
Waalimu tulijaza Ankara za fedha za nauli ya likizo hii mapema sana na kuziwasilisha kwa wahusika ofisi Halmashauri...
Nina ndugu yangu kapata matokeo haya HIST-D GEO-C BIO-C ENGL-D CIV-C CHEM-C LITE-D KISW-C MATH-D
Amepata Division III Point 23 hajasomea PHYSICS na amepangiwa chuo cha Human Resources Management...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Habari wana JF
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
Bahati mbaya Anakopa Pesa nyingi sana halafu zinaishia Mikononi mwake na familia yake pamoja na Mawaziri hazifiki kwenye target husika
Mama akiondoka madarakani kuna vita itapiganwa hii nchi...
#HABARI Jeshi la polisi mkoani Kagera linawahoji watu 3 akiwemo baba mzazi wa mtoto Asimwe Novart (2) kwa tuhuma za kuhusika na kuibwa kwa mtoto huyo Mei 30 nyumbani kwao katika Kitongoji cha...
Wakuu habari, kuna mjazmzito hapa kapitiliza siku zake za kujifungua, leo hii ni siku ya 13 tangu tarehe ya makadirio aliyo andikiwa. Huu ni ujauzito wake wa pili na wa kwanza haukuwa na...
IBILISI RUDISHA FAHAMU ZETU(MIMI NA MKE WANGU).
BY ISSAI SINGANO .
(Singano jr).
DIBAJI
Saa saba mchana Frida alionekana akiingiza gari ndani ya hospitali na taasisi ya kitafiti ya Neuroscience...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.