Nimeshangaa siruhusiwi kureply wala kukoment chochote kwenye uzi
Muungano: VP na Waziri wa Afya, hili si la Muungano. Msiliingize Kinyemela
Option ninayoruhusiwa ni ku- like tu,
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo kupitia Ukurasa wakewa X (Twitter) amekanusha taarifa iliyotolewa na Sauti ya America inayoelezea Mkopo wa Tanzania na...
Naamini. moderators mtaaacha hii thread hata kama inawakera. Iła kwa ushahidi ndugu zangu platform hii imeanza kutokuwa sehemu salama kwa mijadala huru. JF Mods wameanza kuondoa threads ambazo kwa...
Habari wana jamvi.
Twende kwenye Mada yetu,
Igbo ni kabila linalo patikana Kusini Mashariki mwa nchi ya Nigeria na nchi nyingine jirani. Kabila hili limesambaa nchi nzima ya Nigeria hasa kwenye...
Wakuu habari zenu?
Naomba kwa anayeifahamu vizuri Familia ya waziri mkuu mstaafu mh. Mizengo Pinda anisaidie kujua huyu jamaa anaitwa Don Mizengo Pinda ni mtoto kweli wa mheshimiwa au la.
Kuna...
Nakumbuka wakati wa Ujenzi wa barabara ya Makambako Songea wale wakandarasi waliiba sana Madini Wakijifanya wanaenda kutafuta Miamba ya kokoto Maporini
Sema tu viongozi wa wakati Walikuwa makini...
Ujumbe wake huu hapa
---
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Kanda ya Nyasa ambaye pia ni Mbunge wa zamani wa Jimbo la Iringa Mjini mchungaji Peter Msingwa amesema...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Amosi Makalla amemshauri aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa ambaye pia ni Mbunge wa zamani wa Jimbo la Iringa Mjini mchungaji Peter Msigwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.