Wakuu wa JF,
Msaada wenu unahitajika:
1. Naomba kujua taratibu za kupima kiwanja dar es salaam ikoje? Process inakuwaje na cost?
2. Kupata leseni ya makazi process yake ikoje?
Asanteni
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Hivi umegundua watoto wengi siku hizi ni wagumu sana kusalimia mtu. Yani wamjue, wasimjue, ni mpaka mzazi amwambie salimia anko, salimia anti.
Bila hivyo!
Vinauchuna kama kichuguu. Morals...
Sote tunajua kuwa miongoni mwa changamoto zinazotukabili waislamu wengi ni kuielewa Quran, na shida ni kwamba tukipata tafsiri tunapata ambazo hazijaelezewa
Hivyo nawapa darsa za Quran...
Huyo kiongozi wa dini ya uislamu anayeongoza Iran alijitokeza na kusifia sifia Wapalestina kwa wao kujitolea kufa, ila rais wa Palestina amemsuta na kumwambia Wapalestina wameteseka, wamekufa...
Hello members
Eeh banaee Dunia inaenda kufunikwa na janga kubwa la Ushoga na usagaji
we need to pray a lot and ask God to save us from this disaster in our families because everywhere disaster...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.