Salaam shalom!!
Maandiko yanasema vita na uasi ulitokea Mbinguni, ndipo Dunia ikaumbwa tukaletwa hapa Kisha shetani pia akatupwa huku tulipo Ili vita iendelee,
Tafsiri hapo ni kuwa, battle...
Kila Kona tunaona mabango ya sifa na mapambio kwa mkuu "anaupiga mwingi anaupiga mwingi" lakini hali halisi ya mtaani ni tofauti sana kwa sasa upatikanaji wa pesa mtaani umekuwa ni mgumu mno...
Niaje waungwana
Leo nimeamua nilete kwenu uzi huu ili tumalizie ubishi uliopo mtaani kwetu kwa muda wa week tatu sasa bila kumpata mshindi wa kweli, huku kila kundi likivutia kamba upande wake...
Tehran, afisa wa ngazi za juu aliyekua anahusika na upelelezi wa ajali iliyogharimu maisha ya rais wa Iran siku chache zilizopita amepiga risasi na kufariki.
"huku mtu aliyempiga risasi...
Kuuliza sio ujinga jamani kwani mitihani ya kuandika (Written) ya secretarieti ya ajira ni nani anayekuwa anaitunga? Maana nilikutana na mabinti kwenye BUS wanalalamika wamepewa maswali yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.