Nime notice kitu kutoka huko uraiani ni zaidi ya mara kumi nimeona wanaume wakiikataa mboga ya majani ya chainizi migahawani na hata mahotelini..
Watu kibao utasikia aaa chainizi toa situmiagi...
Ningependa kujua kuhusu utaratibu wa NHIF kusajili watoto wa shule za serikali kwa Bima ya Toto Afya Kadi. Awali, NHIF ilikuwa inasajili watoto ambao hata siyo wanafunzi kwa bei ile ya Tsh 50,400...
Nice guy mwingine kauziwa mbuzi kwenye gunia. Juzi kati nimepewa taarifa kuna demu anaolewa, huyu demu tumesoma pamoja chuo.
This is not personal but the trust is huyu demu kakitombesha sana...
Mzee Warioba ameyasema hayo alipohojiwa na Gazeti la Mwananchi .
Wakati Warioba akiyasema haya , mwenyekiti wa Chama chake Samia Suluhu amekwisha saini sheria kandamizi za uchaguzi huo
Sheria...
Hapa mtaani kuna mama mmoja anaitwa Mama Nancy amemuajiri mtoto ambaye kwa umri sina uhakika lakini nahisi ana umri wa miaka 9 au 10, ameajiriwa kama house girl.
Kibaya zaidi Mama Nancy amekuwa...
Majira ya saa 6 za mchana (sawa na saa 10 jioni Indonesia), vijana wa Taifa Stars watamenyana na timu ya Taifa ya Indonesia katika mechi ya kirafiki.
Uwanja ni ule ule GBK Madya Stadium (Gelora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.