Huu ni muendelezo wa Makala zangu za Kushauriana / Kuulizana na nyie Wadau.., Ni Nishati gani Safi ya Kupikia na ya Gharama nafuu kwa Mazingira ya Tanzania; Binafsi nikaja na jibu la Umeme na...
Karibuni hivi balozi wa Marekani nchini Tanzania alietembelea ofisi za Jamii Forums na kukutana na waambata wa ofisi hizi.
Hatujui nini madhumuni ya ziara hiyo ya balozi wa Marekani kwenye ofisi...
Nilipohoji kuhusu uvaaji wa mchungaji Tony Kapola kuna watu hususan wanawake walinivaa kwa ukali kwamba nina wivu niwaachie mchungaji wao, kwamba uvaaji wake ni wa kawaida, kwamba uvaaji wa kisasa...
Baby . Reo nirienda kupima mareria nikaambiwa na dokita nina yutiyai,naomba unitumie era ya dawa,nitafulai sana........
Mwanamke wa hivi ni bora nikae mwenyewe
Tunaona taarifa na mjadala kuhusu ajali ya helkopta inayodaiwa ilimbeba Rais wa Iran. Ikumbukwe siku chache Iran ilivamia Israel kwa makombora /ndege zisizo na rubani na Israel waliahidi kulipiza...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Ndugu zangu awali ya yote ni washukuru Wana jamiiforums wote ambao mliguswa na changamoto yangu iliyo nikuta ambayo ilipelekea kuandika Uzi uliotafsiliwa kama nimekata tamaa😭😭😭 Nahisi siku zangu...
Baada ya aliyekuwa Rais wa Zimbabwe Marehemu Mugabe kuwapora Walowezi wa Kizungu na ambao walikuwa raia wa Zimbabwe wenye Asili ya Uingereza,hatimaye Serikali imetangaza kuanza kuwalipa mabilioni...
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini?
Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.