Wakuu heshima yenu! Heading inajieleza, mimi ni kati ya wale watanzania waliobahatika kuishi mikoa mingi hapa nchini, kiukweli Nchi yetu kwa kiasi chake imebarikiwa kwa uzuri nimeishi Maeneo kama...
Afisa wa ngazi ya Juu kutoka Serikali ya Marekani bwana Jado Brown ameitahadharisha Serikali ya Tanzania juu ya Ucheleweshaji wa Mradi wa Gesi asilia Lindi LNG wenye thamani ya $42 Bilioni yaani...
Ni wazi Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unafuatiliwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko Wanachadema wenyewe
Dr Kigwangalla amechachamaa ukurasani X akidai Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa Chadema...
MJADALA HURU WA KITAIFA KUHUSU MRADI WA GESI ASILIA MIMINIKA (LNG) MWAKA 2024
SEKTA NDOGO YA MAFUTA NA GESI
Mabibi na mabwana, wanasiasa, wafanya biashara, wajasiliamali, wanazuoni, wataalam wa...
Msimamo wa kula kwa urefu wa kamba imepata maana mpya na mbaya.
Serikali ikiwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama katika kila mkoa, itaibiwaje kibwege hivi?
Yes, serikali inaibiwa kibwege na...
Wana bodi habari za asubuhi kutoka upande wa malampaka hizi ajira za jeshi letu la polisi kwa nini website yao iko down muda wote ukianza utaratibu wa kuomba baadae unagoma kufunguka ata izo siku...
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini?
Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
MIMI NA MIMI
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Tamaa, Hila, Usaliti, Siri, Mambo Ysiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA KWANZA
★★★★★★★★★★★★★...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.