GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 57,115
- 110,509
Kudadadeki kamata Kiteknolojia Mfumo wa Mawasiliano hasa wa Ndege(Anga) kisha fuatilia kwa umakini sana Ratiba za Kiongozi wa Juu kisha msetini vyema katika Target na akijaa tu ingilieni Mfumo wa Control Tower na mkimaliza ielekezeni Ndege sehemu Hatarishi ili ama idondoke au tuitungue Kiustadi ili Kisasi chetu tukimalize kwa Kishindo dhidi yao na tuwaonyeshe kuwa Sisi Waisraeli ndiyo WAKALI wa hii MICHEZO na UMAFIA.
Halafu tukishafanikisha Jambo letu huku Wao wakiwa WANALIA Sisi tunajifanya Kukausha na kuwa busy sana na Vita.
Yaani kabisa uhusike katika Kulihujumu Taifa Teule na Mungu Israel halafu eti laana yake Mwenyezi Mungu isikupate?