Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
Joseph Kasheku Msukuma na Jumanne Kishimba "hawajashule" kiviile, lakini si wajinga. Ni miongoni mwa wanasiasa wanaoongoza kwa kuwabeza wasomi wa Kitanzania.
Kuna baadhi ya watu wameonesha...
Bangi ni zao jema.
Cha kushangaza hapa kwetu inapigwa vita na Dola kwenye matumizi na uzalishaji wake.
Rwanda jirani yetu ameingiza $3.7 billion Kwa mwaka kutokana na zao hili.
Inashangaza...
Houthi wanaotawala eneo kubwa la Yemen wametungua tena ndege jeshi ya USA aina ya MQ-9 ambayo thamani yake ni dola 30mln.
Taarifa rasmi ya msemaji wa jeshi na video ya hatua nzima ya kuipiga...
Ni uchunguzi wa miezi zaidi ya mitatu kwa nyakati tofauti kwenye maeneo mbalimbali Jijini Dar es Salaam na mikoa jirani, ambapo safari yangu inakutana na Walinzi wa kampuni binafsi wakitoa kauli...
Nimemuangalia huyu striker mpya wa Azam you tube, natema mate Chino.Hawa Azam safari hii labda wafanyiwe kafara zito, Blanco ana balaa, pengine anaweza kuwa striker bora ambaye hajawahi kutokea...
Habari JF,
Pamoja na zogo nyingi za mamluki hasa wale waliopeleka watoto wao kuishi na kusoma Ulaya dhidi ya Rais wetu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuongezeka eti wakidai uchumi wa Tanzania...
Naomba kueleweshwa, kinachosababisha Tanganyika na Zanzibar ziitwe nchi zilizoungana ni kipi? Nauliza haya kwa sababu
1.) Kila nchi ina Rais wake
2.) Kila nchi ina katiba yake
3.) Kila nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.