Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Mimi ni kijana nayependa sana miguu yangu, Haya mapenzi yameanza zamani wakati nasoma shule ya msingi kipindi nilipoanza kuoga mwenyewe. Nishagombana sana na ndugu zangu wa damu na mama yangu...
JE, NDEGE INARUDI NYUMA?
Ndege nyingi za sasa zina mfumo wa kurudi nyuma #reverse' ambao mara nyingi hutumika kupunguza kasi wakati ikitua (#Braking).
Kwa baadhi ya ndege za 'Mapangaboi'...
Ni mengi yanapita kwenye huu uhusiano, najitahidi kufanya kazi kwa bidii kuimprove standard lakini mwandani wangu ni kama kwake ni tofauti.
Mara nyingi kwenye mikusanyiko ya umma ni kama anaona...
Hizo Pilika pilika, shamra shamra , shangwe , kishindo na Mtikisiko uliousikia Nchi nzima unahusu kanda 4 tu
Ifahamike kwamba bado kuna kanda 6 hazijafanya uchaguzi, sasa bado hatujui nini...
Usiombe biashara ife au kazi iote mbawa, naishi maisha ya kuungaunga mwezi wa pili sasa baada ya kibarua kuota nyasi, poleni sana kwa mliowai kuishi maisha haya, maisha ya kula mlo mmoja na...
No ya watoto wa kiume Tanzania inazidi kupunguza ukiondoa vifo ila hata uzaliwaji wa watoto wa kiume umekuwa mdogo sana na hii kupeleka hata taifa siku za usoni kukosa nguvu kazi ya taifa lenye...
Kuna kundi la vijana mchanganyiko wa Arusha ambao hawana kazi rasmi, wengi miongoni mwao wakijihusisha na ulevi uliopindukia, uvutaji wa bangi, matumizi ya unga, uporaji, ukabaji, ubakaji na...
Wengi tunazijua gari zinazotumika kwenye mashindano ya FIA, especially ya Formula 1. Magari na team kama Ferrari, Mercedes Benz, nk yanaonesha uwezo wao.
Vile vile madereva wa hayo magari, kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.