Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wadada wa Mama Maria umejaa neema mmeukosha mtima wangu, katika maisha yangu nimebahatika ku-date na wadada kadhaa wa kikatoliki, aisee wanajua kupenda, wanajua kupenda mno, haswa awe Church girl...
0 Reactions
12 Replies
65 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
520K Replies
30M Views
Bado sijajua kwanini Kanda ya Nyasa inafuatiliwa namna hii, Wakati Kanda zinazofanya uchaguzi ni nyingi tu Bali hali ya Mji wa Makambako ndio kama mnavyoona Kama unataka matokeo ya Uchaguzi...
5 Reactions
20 Replies
124 Views
Mchawi hawezi kukaa sehemu moja na mtu wa Mungu. Makonda ni mtu wa Mungu ni mtu wa haki. Wachawi hawawezi kumkubali hata siku moja. Shida inaanzia hapo.
3 Reactions
13 Replies
75 Views
Habari Ndugu zangu! Nimetafuta ujauzito kwa muda mrefu bila ya mafanikio! Nimekutana na Daktari kaniambia Nina PCOS kwenye ovary mbili zote! Amenipatia metrofromin na kaniambia tu nifanye...
0 Reactions
3 Replies
11 Views
Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza. Ipo siku nitampatia huu ujumbe...
23 Reactions
85 Replies
2K Views
Man UTD wako shirikisho, Chelsea wanajitafuta, vipi Simba kucheza shirikisho iwe kesi. Cha msingi tukubaliane na matokeo lakini uongozi ukubali kuwajibika, nionavyo hata mwakani hakuna...
4 Reactions
18 Replies
617 Views
Peace, Itakushangaza lakini ndio ukweli, tupo katika zama za upendeleo na "kuinuliwa" kwa wanawake na fursa kede kede pasina shaka mimi na wewe tulitegemea ustawi wa wanamakae kiuchumi, kiroho...
54 Reactions
334 Replies
4K Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
43 Reactions
52K Replies
3M Views
Ulikuja ukaagiza maji yawepo, maagizo yalitupwa kapuni. Waziri hawa watendaji wanatusababishia ubakaji kwa watoto na kinamama wakihangaika kutafuta maji. Tusaidie
1 Reactions
10 Replies
159 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,390
Posts
49,744,866
Back
Top Bottom