Wadada wa Mama Maria umejaa neema mmeukosha mtima wangu, katika maisha yangu nimebahatika ku-date na wadada kadhaa wa kikatoliki, aisee wanajua kupenda, wanajua kupenda mno, haswa awe Church girl...
Nakuombea upone haraka urudi kwenye afya njema Pole sanaa, haupo peke yako nipo na wewe kwenye kila hatua
Wakati wote umekua ukinijali mimi, ni wakati wangu kukuonyesha nakujali pia
Upone haraka...
Habarini,
Miaka ya 1980 kulikuwa na nyimbo kali za mziki zilizo romantic, kama vile stuck on you Lionel Richie, all my life -kci Jojo, endless love, end of the road Boyz to men, hard to say am...
Ikiwa nauza shamba langu na mnunuzi amelipa nusu ya kiasi cha pesa na kukubaliana amalizie nusu iliyobaki baada ya muda flani!
Ikiwa nimegairi kuuza na kutaka kurudisha pesa ya mnunuzi ila naye...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza.
Ipo siku nitampatia huu ujumbe...
Ni mara nyingi utasikia mtu mwenye zaidi ya miaka 35 anajiita kijana. Wengine wana miaka 45 na zaidi hasa wanasiasa lakini wana jiita vijana.
Mnaonaje hili wakuu ni kwamba Ujana una makundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.