Habari wanaJF,
Ninaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi". Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako.
Mfano:
Ualimu Tanzania...
Kamanda ambaye hakuna Mechi ya NBC Premier League iwe Kwa Mkapa au Chamazi anakosa sasa huo Utendaji wake hadi kufikia nae kupewa hiyo Nishani jana na IGP Wambura ni upi? Kama kuna Makamanda ambao...
Straight forward, serikali Kupitia wizara ya mawasiliano na teknolojia imenunua mdoli wa kikubwa wao wanaitwa roboti.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mdoli na roboti, hili letu ni mdoli kwanza...
Habari, mimi nimeoa nina mke na nimezaa nae watoto wa nne, mke wangu ni mzaliwa wa tanga, kuna mistake ambayo nilifanya nilijikuta natoka nje ya ndoa yangu na kuanzisha mahusiano na binti mwingine...
Meli ya MV. Clarias iliyokuwa kwenye maegesho ya bandari ya Mwanza Kaskazini imekutwa imepinduka na kuzama majini katika Ziwa Victoria asubuhi ya leo Mei 19, 2024, huku chanzo cha kuzama kwa meli...
Hiki kisiwa kikiboreshwa vema kinaweza kuwa mbadala wa Zanzibar japo hakiwezi kuwa kama Zanzibar.
Kina fukwe kubwa na nzuri, Kina utalii wa majini Utalii wa mashambani ni muhimu tujivunie na...
yanga ilianzishwa mnamo mwaka 1935 na inasemekana ndo klabu kongwe na yenye mafanikio zaidi hapa nchini. klabu hii ilianzishwa na wazalendo halisi wa nchi hii waliokuwa wakiji shughulisha na...
Wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya bungeni Dodoma, Dr Msukuma ameshangaa mabinti wa miaka 10 tu kuwa na maziwa yaliyotutumuka kiasi cha kuhitaji kuvaa sidiria.
Amedai utafiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.