Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wadau mimi nimekuwa atheist kwa miaka 20...sasa nikiwa mdau mkubwa sayansi technology and fact ...scientific theories Nimekua nikiiona huruma sana jinsi dini ya ukristo inavusambaa kwa kasi...
0 Reactions
11 Replies
93 Views
Lissu anapita huku na huko kumkandia raisi Samia kuhusu uzanzibari wake, lissu ni mtu asiye na shukurani wala kumbukumbu kuwa wakati amenyukwa zile njugu na kupata ugumu wa ndege kuruka na hicho...
0 Reactions
6 Replies
92 Views
Ni kawaida kwa taasis za serikali kukuta viongozi wote ni wakristo. Lakini ikitokea viongozi wa wili tu yaani mkuu wa taasiai na msaidizi wake ni waislami kelelwe nchi nzima. Nimemaliza.
2 Reactions
23 Replies
158 Views
Wiki iliyopita katika mizunguko yangu ya kusaka noti nilipanda daladala iliyokatiza Kurasini, kuna mahali magari yakasimama kuruhusu wanajeshi wengi waliokuwa wakivuka barabara kwa makundi huku...
0 Reactions
2 Replies
5 Views
Leo nasafiri kwenda katika kisiwa cha Ukara, nmeona ni vyema ningewajuza kuhusu kisiwa hiki kilichopo ndani ya mipaka ya Tanzania. Kabla sijaja Mwanza kikazi nlikuwa nasikia kuhusu kisiwa cha...
12 Reactions
274 Replies
48K Views
Naomba leo anayejua anieleweshe hapa, kwa nia nzuri kabisa. Yesu alisema tuombe kwa kupitia Jina lake, inakuwaje watu wanaomba kupitia maria? naangalia tumaini tv hapa padre akasema tuombe kwa...
12 Reactions
163 Replies
2K Views
DR. TAMIM DAKTARI AMBAE HAKUGOMA MADAKTARI WALIPOGOMA Nimempiga Dr. Tamim picha nyingi na zote ninazo zipo Maktaba. Kila picha niliyompiga nilijitahidi kumpelekea nakala. Tabu iliyonifika ni...
8 Reactions
19 Replies
449 Views
Wadau naombeni msaada Hivi naweza kuangalia michango yangu ya nssf kupitia simu
0 Reactions
1 Replies
51 Views
Wasalam, Kwa kipindi kirefu tumeshuhudia wanabodi wengi wakisifia na kuimba mapambio ya kukisifu chama cha mapinduzi CCM kuwa Kimefanya mambo makubwa na yakupendezwa bila kusahau mapungufu yake...
2 Reactions
7 Replies
111 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,018
Posts
49,648,374
Back
Top Bottom