Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

My Take Beatrice wa Moshi amelipa Ile ya Penina wa Goba.Ubaonunasomae 1=1,ngoma hii Bado hakuna mshindi 😆😆😆😆😆 ======= Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Beatrice Elias (36), mkazi...
10 Reactions
239 Replies
4K Views
Hilo eneo la Gaza ni kubwa kiasi gan kiasi cha wapiganaji wa Hamas kutodhibitiwa? Imeripotiwa kuwa wanaendelea kurusha maroket kuelekea Tel aviv. Je hiyo mifumo ya ulinzi ya Israel inashindwa...
1 Reactions
7 Replies
105 Views
Kama wapo nisaidieni kuwatag. Nilikuwa na 250k kwenye account yangu jana saa 9 nikatoa 50k kwa wakala. Leo kuangalia salio nimebakiwa ba 89k. Nimepiga simu namba yao huduma niliyopata sijalizika...
9 Reactions
55 Replies
840 Views
Huyu wakala ni jirani yangu, kila muda ninapotaka kufanya miamala ya kipesa huwa nafanyia kwenye ofisi yake Huyu binti nadhani hana moyo wa kupenda, na sidhani kama amewahi kumuonesha mtu dalili...
7 Reactions
39 Replies
2K Views
Ukisikia mtu kaua mpenzi kwa wivu wa mapenzi mara nyingi kama siyo zote ni mwanaume wa kanda ya ziwa au mikoani huko Huwezi kusikia mzaramo. Najiuliza kwann Hawa wenzetu wanawezaje kumudu stress...
21 Reactions
96 Replies
3K Views
Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT. Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike...
3 Reactions
4 Replies
150 Views
Wanaukumbi. Wiki hii nzima Israeli imeteseka L baada ya L; kidiplomasia, kisiasa na kisheria - na sasa: jana askari wao walitekwa kama POWs, na leo Hamas inaonyesha uwezo wao wa kijeshi...
7 Reactions
188 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwasogezeeni taarifa hii ya kuwa wananchi wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki linaloongozwa na Mheshimiwa Babu Tale yaani Khamisi TaleTale wameamua kwa umoja...
0 Reactions
59 Replies
591 Views
Habari wadau. Hivi sasa ni saa 01:40 usiku wa manane sijalala naumia na kuumiza kichwa hivi hizi kesi za kulawiti kwanini zimekithiri? Wanaume wamefikia hatua wanalawiti watoto wa miaka...
2 Reactions
5 Replies
54 Views

FORUM STATS

Threads
1,857,476
Posts
49,718,472
Back
Top Bottom