Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Naitwa Bichwa Komwe. Mimi ni mtoto pekee katika familia ya Kitajiri. Baba yangu alikuwa muajiriwa katika kampuni ya wazungu, na alifanikiwa kuchuma fedha na mali nyingi. Mama yangu ni msomi na...
24 Reactions
102 Replies
1K Views
Habari Zenu Ndugu Zangu wa Jamii Forums, Mimi Ni Kijana Mwenye Umri wa Miaka 28 Naishi Chanika Dar es salaam, Ninachangamoto Ya Kutafuta Ajira Ndugu zangu Elimu Yangu Ni Kidato Cha Nne Ngazi Ya...
2 Reactions
8 Replies
27 Views
Nashangazwa na utendaji kazi wa taasisi hii (LHRC) Huwa wanaibuka pale anapoguswa mwanamke lakini kati hutawaona mwanamke akidhalilisha mwanaume. Sasa wanamwandama makonda , Jana walimwandama...
6 Reactions
21 Replies
253 Views
Kuna mda huwa njiuliza najiona kuwa sisi waafrica ni wajinga na tusiojielewa kabiasa. Hebu fikiria mtu alikuwa anaitwa labda mfumta, mkuyange, kilamuhama etc anaamua kuacha na jina lake eti ni...
7 Reactions
27 Replies
399 Views
Wakuu si vibaya kupeana mikakati ya kukabiliana na janjajanja za hawa wenzetu wenye mawazo kutudidimiza kwa faida zao. Maana na wao kila uchao wana mbinu mpya. Mimi kwakweli nimeanza kuwaogopa...
1 Reactions
13 Replies
114 Views
Tofauti na basketball kuwa mchezo wa watoto wenye malezi bora na wanaothamini elimu ,soccer,football,kandanda ni mchezo wa kihuni tu bora hata boxing. Kule USA huwezi kucheza ligi kuu ya kikapu...
1 Reactions
6 Replies
159 Views
Nakumbuka miaka hiyo ndio nimepata kazi benki Fulani, nikapata nyumba Sinza ya mama mtu mzima kijana. Akanikaribisha sana, hakuwa na noma, nilipokuja kununua flat TV enzi hizo plasma tv ndio...
8 Reactions
65 Replies
2K Views
Kwako mdau, Kama kichwa cha uzi kinavyo jieleza, kutokana na Wimbi kuongezeaka la vijana wengi kukosa ajira/kazi. Ni ushauri gani utampa mtu aliye pata ajira leo. Ushauri uwe ume base kwenye eneo...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mwana FA anaweza Kuingia kwenye Historia ya aina yake, kwanza kwa Kusoma Masters bila kuwa na Degree lakini pia Kuwa waziri asiye na Degree katika baraza la Mawaziri Hivi ilikuaje akasoma masters...
18 Reactions
298 Replies
16K Views

FORUM STATS

Threads
1,857,064
Posts
49,705,048
Back
Top Bottom