Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hello Wadau wa JF! Weekend ipo vipi pande hizo? Binafsi ipo poa nimeshapata breakfast ya chapati za kusukuma, rosti la maini na kachai ka maziwa pembeni. Kwa wale wapenzi wa Korean Drama Leo...
7 Reactions
46 Replies
470 Views
Leo ndio ile siku ya mabingwa wa nchi Yanga Afrika kukabidhiwa kombe la ubingwa wa ligi ya Nbc. Ikumbukwe huu ni ubingwa wa 30 kwa Yanga Afrika... Kuwa nami paka mwisho ili kujua kile kinachojili...
6 Reactions
19 Replies
283 Views
Download TIGO PESA APP (play store au app store ) jisajili utapokea 1GB , Kama tayari app unayo log out then hakikisha iko updated then log in again utapata 1GB
4 Reactions
30 Replies
764 Views
Ukiangalia mapigano yanayoendelea sudan utagundua kuwa watu weusi ni wajinga sana Hawa wasudani walioingia katika uislam walianza kujiona wao ni waarabu kwa mtindo huo akawa anashirikiana na...
10 Reactions
62 Replies
734 Views
Ukitazama ramanj vzr ya tanganyika utaona kabsa kuwa Rwanda na Burundi imo ndai ya tanganyika kbsa lkn ajabu Ni nchi zinazo jiitegemeaa Sasa kwani mwalimu hakuona haja tuwe taifa moja badlaa...
0 Reactions
7 Replies
28 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
519K Replies
30M Views
Hiyo ndio hali halisi hadi sasa Wananchi 2000 tu wamechanga takribani tsh million 25 Heri Kutoa kuliko Kupokea, Milango iko wazi kwa wale wote wenye mioyo ya unyenyekevu Ahsanteni 😄 Credit...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mwana FA anaweza Kuingia kwenye Historia ya aina yake, kwanza kwa Kusoma Masters bila kuwa na Degree lakini pia Kuwa waziri asiye na Degree katika baraza la Mawaziri Hivi ilikuaje akasoma masters...
18 Reactions
285 Replies
15K Views
  • Sticky
Full name: Chelsea Football Club Nickname(s): The Blues, The Pensioners Founded: 10 March 1905 League: Premier League Website: ChelseaFC.com Ground: Stamford Bridge, (Capacity...
154 Reactions
121K Replies
7M Views
Mambo yafuatayo yameorodheshwa kuwa ndiyo tofauti kuu kati ya mvulana na mwanaume 1. Uwezo wa kukabiliana na magumu. Mvulana akipata magumu hulalamika au kukimbia kabisa magumu yake, mwanaume...
2 Reactions
12 Replies
223 Views

FORUM STATS

Threads
1,857,024
Posts
49,704,334
Back
Top Bottom