Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Iko hivii; Hapa mtaan kuna office za kubeti kwa hyo mara nyingi huwa nashinda hapo. Sasa kuna jamaa imetokea tu tumezoeana kwa sababu kila sku tunakutana humo ndanin(simjui jina wala sina details...
10 Reactions
40 Replies
1K Views
Nyumbani kwangu kuna paka alijileta akapazoea wife akaniambia muache apambane na panya, binafsi siwapendi kabisa paka nimekulia uswahilini nawajuwa ni antena za wachawi. Huyu paka hana mpango...
9 Reactions
74 Replies
1K Views
UFAFANUZI KUHUSU MALIPO YA FEDHA ZA KUJIKIMU KWA ROBO YA NNE Ijumaa, Mei 17, 2024 Tunapenda kuwafahamisha wanafunzi wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu na umma kuwa tunakamilisha malipo ya fedha...
1 Reactions
23 Replies
925 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki uzinduzi wa album ya Harmonize leo tarehe 25 Mei, 2024 katika ukumbi wa Mlimani City...
4 Reactions
79 Replies
1K Views
Huwezi kutuvalia mtisheti wako wa Brazil siku tunakabidhiwa kombe bana. Ni kwamba ulikosa tshet maalumu inayoendana na tukio la leo au ulikosa kabisa jezi ya Yanga? Ulitaka kuonekana tofauti...
3 Reactions
28 Replies
447 Views
Albatrosi ni ndege wakubwa wa bahari katika familia Diomedeidae. spishi hizi za ndege wana mabawa marefu kabisa kuliko ndege wote duniani. Albatrosi ana mabawa ambayo mawili pamoja yana urefu wa...
6 Reactions
32 Replies
894 Views
Kijeshi askari anapo kuwa mbele ya mkubwa wake akiwa anaongea anakua anapaswa kukaa mguu pande na mikono huwa nyuma kuonesha utii wake kwa kiongozi wake huyo. Kama ilivyo picha huwa na lugha...
7 Reactions
70 Replies
2K Views
Najua kwa hakika kabisa kwamba, kupanda hadhi kwa maeneo, mfano mji kuwa manispaa na manispaa kuwa Jiji Kuna vigezo vyake. Mfano , idadi ya watu, Pato la eneo husika, na sababu nyingine nyingi za...
5 Reactions
14 Replies
623 Views
A
Jamani kuna tatizo kwenye mabucha ya nyama hasa mitaa ya Mbezi Beach, wanajifanya wanauza nyama bei rahisi kumbe kwa kila kilo wanapunguza gram 200. Wanaohusika tunaomba mtuokoe, sina details...
4 Reactions
26 Replies
402 Views
Ni muda sasa umepita tokea serikali kurudisha umiliki wa hospital ya Dar group na kuwa chini ya Jkci ingawa awali ilitegemewa baada ya serikali kuchukua rasimali zote za hospital hiyo ikiwemo...
0 Reactions
4 Replies
111 Views

FORUM STATS

Threads
1,857,151
Posts
49,708,462
Back
Top Bottom