Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kwanini uingie gharama ya kubadili kitambaa Cha sofa zako,?
Jipatie sofa shampoo ambayo inaosha sofa Kwa kutumia povu tuu, na ndani ya dk 45 tuu, sofa zako zinarudi na kuwa mpya kabisa, bei zetu...
NIMEONA KILA WAZIRI MKUU AKIPITA HALMASHAURI WAMEKUWA WEZI KILA SEHEMU
SAASA HILI LA ARUSHA TUANZE KUKAGUA HIII KAMPUNI YA TANGANYIKA CAMP N YA NANI,??? MMILIKI NA JE ILIANZIA LINI????
ALAFU...
Jina la kwanza kuwekwa hadharani ni la huyu Dickson Matata, ambaye ameteuliwa kuwania uenyekiti kanda ya Magharibi.
Dickson Lucas Matata
Ameteuliwa na Kmati Kuu ya Chama kugombea nafasi ya...
Mdoli huyu hata vitoto vyenye certificate ya electronic ya pale VETA vinaweza kuujenga.
Mdoli eti mpaka uusogelee usubiri dk kadhaa apate hisia ya kunyoosha mkono .
Mdoli waneupaka rangi ya...
Ushawahi kusikia kauli kama hii kutoka kwa mwanamke? Ukweli ni kwamba ambae anakua tayari kwa kuoa ni mwanaume ambae ataenda kubeba jukumu la kutoa security katika familia, kwa maana iyo mwanaume...
Haya ni maisha ya kawaida kwa mikoa iliyo mingi hapa Tanzania labda ukiiondoa Dar pekee.
Maisha ya mikoani ni full kufatiliana wajue unafanya nini au unapanga kufanya nini na lengo sio kusaidia...
Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewaagiza Takukuru kumkamata DED wa Arusha na Watendaji wake wanaotuhumiwa kufisadi tsh 19 million za mwekezaji wa sekta ya Utalij Chamburo
Aidha RC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.