Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Me Sina hela ila naishi na watu wema na wenyewe kiuchumi hawako vizuri nyie wa huko dar mna magari na majumba najua wengi hamuwezi kushindwa kufungua redio Jina LA redio nakupa mimi iitwe 45 fm...
0 Reactions
8 Replies
109 Views
Kwa wale mliofika japani au tusiende mbali sana miaka ya nyuma kabla zimbabwe ijapotea kisiasa ilikuwa nchi bora sana kwa wazazi waliotembea kuwapeleka watoto wao. Nitarudi nchi ya japani sababu...
1 Reactions
4 Replies
29 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views
Ukisikia mtu kaua mpenzi kwa wivu wa mapenzi mara nyingi kama siyo zote ni mwanaume wa kanda ya ziwa au mikoani huko Huwezi kusikia mzaramo. Najiuliza kwann Hawa wenzetu wanawezaje kumudu stress...
13 Reactions
51 Replies
948 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
Ukiangalia mapigano yanayoendelea sudan utagundua kuwa watu weusi ni wajinga sana Hawa wasudani walioingia katika uislam walianza kujiona wao ni waarabu kwa mtindo huo akawa anashirikiana na...
10 Reactions
55 Replies
734 Views
Vijana wengi tunachangamoto ya kupata kianziO au mtaji kwajili ya kuanzisha biashara ndogondogo masikani kwetu. Unaweza kutimiza Ndoto zako sasa na kujitengenezea kipato kikubwa kitakachokidhi...
10 Reactions
72 Replies
2K Views
Ukitazama ramanj vzr ya tanganyika utaona kabsa kuwa Rwanda na Burundi imo ndai ya tanganyika kbsa lkn ajabu Ni nchi zinazo jiitegemeaa Sasa kwani mwalimu hakuona haja tuwe taifa moja badlaa...
0 Reactions
3 Replies
28 Views
Hellow brothers and sisters. Kuna jambo limezuka sikuhizi ama kuenea kwa kasi katika jamii yetu. Kuna baadhi ya maneno yamekuwa yakisikika midomoni mwao watu hasa vijana wa kisasa, maneno hayo...
3 Reactions
40 Replies
340 Views
Hakuna Mahali alipomdhalilisha Mtu kwenye ule mkutano wa Wanakamati wa Halmashauri na Wananchi Mkoani Manyara Longido. Akichoongea RC Makonda ndio maneno ya kawaida tunayotumia watu wengi na...
16 Reactions
68 Replies
825 Views

FORUM STATS

Threads
1,857,023
Posts
49,704,264
Back
Top Bottom