Ukisikia mtu kaua mpenzi kwa wivu wa mapenzi mara nyingi kama siyo zote ni mwanaume wa kanda ya ziwa au mikoani huko
Huwezi kusikia mzaramo. Najiuliza kwann Hawa wenzetu wanawezaje kumudu stress...
Leo nimejikuta nawaza hili jambo, inawezekana tukawa tunamchukulia Lissu kwa urahisi rahisi, kumbe mwenzetu ana jambo zito zaidi. Tanzania ina wawekezaji wengi kutoka zanzibar, na wengine wameoa...
Habari Zenu Ndugu Zangu wa Jamii Forums,
Mimi Ni Kijana Mwenye Umri wa Miaka 28
Naishi Chanika Dar es salaam,
Ninachangamoto Ya Kutafuta Ajira Ndugu zangu
Elimu Yangu Ni Kidato Cha Nne Ngazi Ya...
Naitwa Bichwa Komwe. Mimi ni mtoto pekee katika familia ya Kitajiri.
Baba yangu alikuwa muajiriwa katika kampuni ya wazungu, na alifanikiwa kuchuma fedha na mali nyingi. Mama yangu ni msomi na...
Kwako mdau,
Kama kichwa cha uzi kinavyo jieleza, kutokana na Wimbi kuongezeka la vijana wengi kukosa ajira/kazi. Ni ushauri gani utampa mtu aliye pata ajira leo.
Ushauri uwe ume base kwenye eneo...
Dunia imeharibika sana. Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mama mmoja amemteka mtoto wake wa miaka 3 na kumficha mtoto huyo kwa mama yake mzazi (bibi wa mtekwaji) ili kufanikisha mpango ovu wa...
Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.
Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido...
Hawa makorokwinyo wanaenda kulizungusha kombe lipi ? Tff na bodi ya ligi watakabidhi kombe baada ya mechi ,hili ambalo alikamwe anaenda kulizungusha kwa chopa amelitoa wapi kama sio wizi ...
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Amani ya Umoja wa Afrika AU bwana Mousa Faki ameoneshwa kukerwa na jproji wa chaguzi na mapinduzi Barani Afrika.
Bwana Faki alikuwa akizungumza Dar kwenye maazimisho ya...
Hellow brothers and sisters.
Kuna jambo limezuka sikuhizi ama kuenea kwa kasi katika jamii yetu.
Kuna baadhi ya maneno yamekuwa yakisikika midomoni mwao watu hasa vijana wa kisasa, maneno hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.