Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
517K Replies
30M Views
Huyu ndio bosi wangu. I have 13 years on duty.ila bosi anakuona just like hell
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Jina la kwanza kuwekwa hadharani ni la huyu Dickson Matata, ambaye ameteuliwa kuwania uenyekiti kanda ya Magharibi. Dickson Lucas Matata Ameteuliwa na Kmati Kuu ya Chama kugombea nafasi ya...
6 Reactions
54 Replies
2K Views
Mdoli huyu hata vitoto vyenye certificate ya electronic ya pale VETA vinaweza kuujenga. Mdoli eti mpaka uusogelee usubiri dk kadhaa apate hisia ya kunyoosha mkono . Mdoli waneupaka rangi ya...
23 Reactions
93 Replies
3K Views
Ushawahi kusikia kauli kama hii kutoka kwa mwanamke? Ukweli ni kwamba ambae anakua tayari kwa kuoa ni mwanaume ambae ataenda kubeba jukumu la kutoa security katika familia, kwa maana iyo mwanaume...
18 Reactions
69 Replies
848 Views
Haya ni maisha ya kawaida kwa mikoa iliyo mingi hapa Tanzania labda ukiiondoa Dar pekee. Maisha ya mikoani ni full kufatiliana wajue unafanya nini au unapanga kufanya nini na lengo sio kusaidia...
2 Reactions
6 Replies
88 Views
Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewaagiza Takukuru kumkamata DED wa Arusha na Watendaji wake wanaotuhumiwa kufisadi tsh 19 million za mwekezaji wa sekta ya Utalij Chamburo Aidha RC...
16 Reactions
69 Replies
2K Views
Mchezo wa kwanza wa Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika unapigwa leo katika dimba la Olympique Hammadi Agrebi baina ya wenyeji Esperance dhidi ya mabingwa watetezi Al Ahly. Mchezo huo unatarajiwa...
6 Reactions
104 Replies
895 Views
Kisaikolojia ikoje? Unakuta mtu amepambana kivyake Sasa amejipata. Kipindi anapambana kutafuta mtaji, connection na ramani, watu wanakuona tu. Sasa ukianza kuinuka kupata japo kidogo uhakika wa...
1 Reactions
3 Replies
4 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,963
Posts
49,647,112
Back
Top Bottom