Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Paul Okoye, maarufu kama Rudeboy kutoka kundi la muziki wa Afrobeats la PSquare amezua gumzo mitandaoni baada ya kuwashauri wanaume pia kukumbatia hulka ya kukataa mpenzi wa kike asiye na hela...
0 Reactions
48 Replies
129 Views
Hellow brothers and sisters. Kuna jambo limezuka sikuhizi ama kuenea kwa kasi katika jamii yetu. Kuna baadhi ya maneno yamekuwa yakisikika midomoni mwao watu hasa vijana wa kisasa, maneno hayo...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habari wanaJF. Nilikuwa napitia TCU admission guiding book ya 2023/24 inaonesha ili uingie degree kutokea diploma ni lazima uwe na GPA ya 3.0, ila sijaona alternative kwa aliyepata G.P.A chini ya...
0 Reactions
14 Replies
150 Views
Habari wana jukwaa!.. Technology ikiwa inaendelea kukuwa na vijana wa hovyo hawajaachwa nyuma, kuna utapeli unafanyika leo nataka nikuelekeze kuhusu utapeli wa kutumia 'Fishing Attack'. Fishing...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Marekani imesema inaitambua rasmi Kenya kama Mshirika wake wa karibu Kiusalama ambae sio mwanachama wa NATO Ili kukabiliana na Ushawishi wa Russia na China Barani Afrika na hususani Afrika...
13 Reactions
151 Replies
2K Views
Wanasema wasi wasi na jambo unapolileta hapa JF linaweza kubezwa au kutafakari kama wenye kulifahamu.Mkoa wa pwani upande kusini ni kama ulisahaulika kiasi fulani.ila baada yale ya kibiti na...
6 Reactions
17 Replies
283 Views
Nyumba ya kisasa inauzwa kibaha maili moja........ Ina vyumba vitatu kimoja self Sitting,dining,kitchen & public toilet Gypsum na tiles vyumba vyote Bei mln 46 tu Document:Sales agreement 0675...
0 Reactions
7 Replies
247 Views
Naombeni mnisaidie ushauri, nimeapply Kazi sehem mbili, Ajira za polisi pamoja na private company as sales engineer. Kwa wenye uzoefu Ni wap niende.
3 Reactions
12 Replies
288 Views
Nimejikuta katika wakati mgumu wa kuiamini taarifa inayosema eti rais Ruto wa Kenya ndie rais wa kwanza kufanya ziara rasmi ya kiserikali nchini marekani kwa kipindi Cha miaka 15 iliyopita...
0 Reactions
8 Replies
108 Views
Habari, Tuna kampuni ambayo inadeal na utoaji wa services. Changamoto yetu kubwa ni mtaji mdogo. Mwaka huu kuna investor (Ndugu wa karibu), amesema atatusaidia kutatua changamoto hiyo kwa...
2 Reactions
7 Replies
61 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,996
Posts
49,703,698
Back
Top Bottom