Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake. Wanawake kuweni sana makini this time watu...
32 Reactions
639 Replies
25K Views
Nadhani itakua ni nchi ya kwanza duniani kufanyiwa huu mchezo ndani ya White House. Poleni sana majirani huu mtego mlioingia hamchomoki.
16 Reactions
119 Replies
2K Views
Wakuu si kwa ubaya! Mi natamani kujua hili swala,, Dini au iman fulan zimekua zikipokezana tangu dunia kuanza huja na kupotea. Dini hupotea kwa sababu ya kuja dini nyingine yenye nguvu au itikad...
1 Reactions
23 Replies
142 Views
Kila wakati naangalia wabunge wanajadili nini. Kama kawaida wanamwaga sifa kwa rais. Hili la USHOGA wanatoa sifa za uongo. Rais hajakemea ushoga hata siku moja. Yawezekana ana lake kichwani lakini...
6 Reactions
34 Replies
264 Views
Watu 11 wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya mfumo wa joto wa kiwanda cha kuzalisha sukari cha Mtibwa Sugar kulipuka wakati wakijiandaa kuanza uzalishaji wa sukari kwenye...
3 Reactions
37 Replies
1K Views
Najuta kwanini nilipinga uwekezaji wa DP WORLD kwenye Bandari zetu, nadhani nilielewa vibaya kutokana na kupotoshwa
0 Reactions
12 Replies
188 Views
Akiwa kwenye ziara yake Longido, Makonda kama kawaida yake akiwa anatatua kero za wananchi, kamati hii ilihojiwa sababu ya ujenzi wa shule kusuasua. Wakati mwanakamati huyo anajieleza Makonda...
4 Reactions
33 Replies
317 Views
Mzuka wanajamvi. Jana Tanzania imempoteza mrembo pisii kali Penina wa Goba the undisputed beauty. Wanaume wengi tumepokea msiba huu kwa mshtuko sana. Kwa upande wangu leo nimeamua kupumzika...
9 Reactions
70 Replies
2K Views
Salaam,Shalom!! Nimesikia Mh Mwigulu, waziri wa Fedha akilalama kuwa, Wafanyabiashara waliopewa nafasi ya kukusanya Kodi Kwa niaba ya Serikali ni chanzo Cha kukosekana mapato ya Serikali...
11 Reactions
88 Replies
2K Views
Mkazi wa Goba Lastanza Kinondoni, Joseph Sanura maarufu kama Ngosha (31), anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam. kwa tuhuma za mauaji ya Penina Rwegoshora (28) mkazi wa...
3 Reactions
32 Replies
571 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,666
Posts
49,695,982
Back
Top Bottom