Asante kwa wewe ulieingia kwenye huu uzi,ili kufahamu ni jambo gani hasa lililobeba maono ya Tanzania ijayo. Kwanini ni jambo ambalo nimelipa jina la hisia basi karibu na tiririka mpaka mwisho...
Kabla hujasoma jua kua Nimecopy na kupaste kutoka twitter kwa @NikkiWa111
The Story:
Muda huu nikiwa narudi kutoka mihangaikoni, naona watu wengi, bodaboda wengi wamekaa vikundi vikundi, kiasi...
SONGESHA na MIKOPO mingine ya simu imepelekea watumishi KUNYIMWA mikopo WAnapoenda bank kukopa, na hii ni kutokana na mamlaka zinazosimamia mikopo kuweka utaratibu wa madaraja high risk,risk na...
Shirika la bima ya afya NHIF limekuwa na mabadiliko makubwa yanayosababisha wanachama kukoswa HUDUMA imara, HUDUMA nyingi za upasuaji zimeondolewa na kumfanya mwanamchi kulipia topup, serikali na...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wanaukumbi.
Serikali ya Israel ilitangaza kuwa kamanda wa ngazi ya juu Asaf Hamami amefariki na kumfanyia mazishi ya jeneza tupu.
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na mkewe Sara, walifanya ziara ya...
Tanzania inaweza kumaliza tatizo la ukosefu wa ajira Kwa asilimia mia Kwa wasomi mpka wasio wasomi.
Vitu vifuatavyo vinaweza badili Tanzania iwe ni soko la ajira milele.
Uvuvi.mikoa yote yenye...
Wakuu habari zenu, ni matumaini yangu kuwa hamjambo.
Leo nataka kuweka ushuhuda wangu kwa niliyoyashuhudia live juu ya nguvu za giza, kwa wasioamini nadhani uzi huu hautakuwa na thamani kwao...
Wadau hamjamboni nyote?
Nawaletea tabiri mbalimbali zilitolewa na Muasisi wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani Nabii mke Hellen G White ambazo kamwe hazikutimia kama ilivyotarajiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.