Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Picha inajieleza na kaambatanisha na kanuni za league kuu ya Tanzania bara. Kwako Karia TFF na bodi ya league yako, tunakufuatilia tuone mtaamuaje mechi hiyo. Mnatutia aubu na kuturudisha zama...
4 Reactions
34 Replies
821 Views
A
Anonymous
Habari, Nimepoteza mtu wangu wa karibu sana siku ya jana kutoka Hospitali ya Mloganzila 😭😭😭😭😭😭😭. Hakuna daktari pale, kuna wanafunzi (interns) tu wanaotoa huduma ya kwanza kwa mgonjwa aliye...
13 Reactions
51 Replies
1K Views
Wataalamu hivi Kuna faida gani katika mwili kuingia kwenye barafu mengi Mara nyingi tumekuwa tukiwaona hata wachezaji wakia kwenye pipa lililojaa mabarafu mengi sana
1 Reactions
1 Replies
2 Views
1. Huwezi tu kusema 'hapana' kwa mtu yeyote bila kujisikia hatia. Unajali sana na unapenda kupita kiasi. 2.Unalia ukiwa peke yako lakini haumwambii mtu kwa sababu unaogopa watu watakufikiriaje...
24 Reactions
48 Replies
784 Views
HAPA ndipo chimbuko la wazungu na baadhi ya waarabu, nchi ya Georgia, panaitwa CAUCASIA , milima Yao Inaitwa Caucasus mountains. Bahari Yao Inaitwa BLACK SEA, haisapoti hata samaki... Ina...
1 Reactions
3 Replies
84 Views
Hapa ni wapi? Kwa manao safiri sana miaka hiyo!!
0 Reactions
1 Replies
25 Views
Wanabodi Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na kwa Maslahi ya Taifa, kila Jumatano kwenye gazeti la Mwananchi na Jumapili kwenye gazeti la Nipashe na kwenye kipindi cha KMT on Channel...
12 Reactions
172 Replies
3K Views
Kwa wafanyabiashara wakubwa wa GAS kuna mitungi inauzwa ipo 300 cylinder zisizo na gas. Mtungi mmoja bei (Bila Usafiri) 14,000. Kampuni iliyopo ni Taifa/Mihan Gas... Anahitajika Mfanyabiashara...
0 Reactions
7 Replies
63 Views
Wadau hamjamboni nyote? Nimaoni yangu kwa mujibu wa katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayonipa uhuru huo. Ipo haja ya kutunga sheria maalumu ya kumlinda moja kwa moja Rais wetu...
7 Reactions
114 Replies
1K Views
Katiba ibadilishwe kumuzesha Rais kutimiza maono yake ya kuipaisha nchi yetu kiuchumi awamu iwe miaka 7 ukomo nafasi husika ya uondolewe Wadau hamjamboni nyote? Nawaslisha maoni yangu...
0 Reactions
9 Replies
40 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,626
Posts
49,694,927
Back
Top Bottom