Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewaagiza Takukuru kumkamata DED wa Arusha na Watendaji wake wanaotuhumiwa kufisadi tsh 19 million za mwekezaji wa sekta ya Utalij Chamburo Aidha RC...
4 Reactions
10 Replies
267 Views
Niko Mwanza kitaliii…. wapi napata kitimoto nzuri ya kuchoma
3 Reactions
69 Replies
1K Views
Marekani ilisema Alhamisi inazuia uagizaji kutoka kwa kampuni kadha za nguo za China, ikitaja wasiwasi wa China kutumia nguvu kazi ya kulazimishwa katika utengenezaji bidhaa. Kati ya nyongeza 26...
0 Reactions
8 Replies
74 Views
Popote ulipo pokea salaam,rudi kwenye kituo chako cha kazi🤣🤣🤣 Kambi ni popote mkuu uwalimu ni wito
3 Reactions
8 Replies
39 Views
Kwenye maisha kuna muda wanaume tunapendwa na wanawake tusio wapenda kwa mfano kwangu mimi niliwaigi kupendwa na mwanamke nisiye mpenda kiasi kwamba hadi aliniomba namba za simu ili tuwe...
16 Reactions
186 Replies
4K Views
Kuna malalamiko hasa upande wetu sisi wanaume juu ya tabia moja ya kuomba hela inayofanywa na wanawake. Tabia hii imepewa jina "Kuomba hela" sababu ndicho kitendo kikuu hapo hakuna jambo lingine...
10 Reactions
87 Replies
879 Views
Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu. Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na...
3 Reactions
27 Replies
214 Views
Anyways nimeelewa kwani ili TFF na Serikali iongeze Mapato ni lazima Klabu Bingwa ziende Timu MbilI Kubwa ili Mapato yapatikane Makubwa lakini pia Kuchangamsha nchi kwani kama mwakani Timu ikiwa...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Kwangu mimi ni the red wedding (episode ya the rains of castamere) pamoja na kifo cha Hodor..... Naliaga kabisa kwenye hizi scenes 😭😭 The red wedding 💔
2 Reactions
50 Replies
965 Views
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama...
8 Reactions
303 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,909
Posts
49,644,426
Back
Top Bottom