SONGESHA na MIKOPO mingine ya simu imepelekea watumishi KUNYIMWA mikopo WAnapoenda bank kukopa, na hii ni kutokana na mamlaka zinazosimamia mikopo kuweka utaratibu wa madaraja high risk,risk na...
Akiwa kwenye ziara yake Longido, Makonda kama kawaida yake akiwa anatatua kero za wananchi, kamati hii ilihojiwa sababu ya ujenzi wa shule kusuasua.
Wakati mwanakamati huyo anajieleza Makonda...
Wadau hamjamboni nyote?
Nawaletea tabiri mbalimbali zilitolewa na Muasisi wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani Nabii mke Hellen G White ambazo kamwe hazikutimia kama ilivyotarajiwa...
Full name: Chelsea Football Club
Nickname(s): The Blues, The Pensioners
Founded: 10 March 1905
League: Premier League
Website: ChelseaFC.com
Ground: Stamford Bridge, (Capacity...
Shirika la bima ya afya NHIF limekuwa na mabadiliko makubwa yanayosababisha wanachama kukoswa HUDUMA imara, HUDUMA nyingi za upasuaji zimeondolewa na kumfanya mwanamchi kulipia topup, serikali na...
Nimetumwa niwafikishieni hizi Salamu zenu na Mimi kwakuwa ni Mjumbe wala sizicheleweshi ili nisije Kusahau kwani Kichwa changu kinawaza mambo mengi ya Msiba Iran, Kitendo cha Wapuuzi Ireland...
Umeme unaozalishwa na TANESCO ni junk electricity, umeme usio na viwango.
Ni kama mtu uliyevaa suti na tie, unaishia kulishwa na mama ntilie.
Umeme huu wa TANESCO, huko Mtibwa umesababisha maafa...
Bila salamu, nimechefukwa sana na kitendo cha huyo dogo kuchomoa uhai wa huyo mwanamke huko Goba bila sababu yoyote ya msingi
Huyo dogo hajui code za mjini, anaonekana odometer yake hapa mjini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.